kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua
kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua
Mbatia kajengewa nyumba ya ghorofa kule nyumbani kwao hili nalo lipo wazi sana huhitaji kutumia akili nyingi lipo wazi sana.kuna lile genge la vyama visivyokuwa na wabunge likiongozwa na chama cha ccj,wale wamechukua
kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua
Ni Momose Cheyo na Lyatonga Mrema.kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua
iparamasa, pole sana. Unaonaje kama mada yako ingesomeka hivi; kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu Ikulu waliopata mgao, kama taifa tuna haki ya kuwajua! Hakuna Kiongozi wa Upinzani mwenye uwezo wa kuzima tetesi kama unavyodai; wenye uwezo huo hata wewe unawajua vizuri sana. Pamoja na ukweli huo, wengi wetu hatuangalii itikadi, mwizi ni mwizi tu awe anatoka Chama tawala au Upinzani ila mpaka sasa wale wote, ambao ushahidi umepatikana kwamba walilamba, hakuna wa kutoka Upinzani.kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua
mleta mada nihakikishie kuwa uko timamu kwanza.coz kwa akili ya kawaida hilo lingekuwa ni chance ya kuharibu mjadala.unaona hata Zito alivyokuwa attacked na Lusinde ila ikakosa mashikokuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua