baba yako na mama yako wamekaa mahali wanajiona wana mtotoLeo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii
Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc
Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha
Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni
Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji
Gillsant mlaseko ni nani?
Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing
Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa
Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481
View attachment 1992503
Utakuwa fred mboyaLaiti ungejua uzito wa Gilsant usinge andika hivi. Ungepata nafasi ya kuhudhuria hii harusi ungemuelewa mleta uzi anamaanisha nini
Jamhuri ya TwitterTaifa lipi?
Nenda Twitter utawajuaWho are they? I don’t know anything about them.
Naomba connectionBrother yes nilikuwa mwajiriwa wa Airtel na kwa taarifa yako tulifanya project kubwa ambayo one of the competitor alikuja kufanya headhunt na mie nikawemo unaweza niona sina akili lakini waliokuja kufanya headhunt wanajua walikuja kuchukua vichwa vya aina gani
Naweza kuwa naandika utoporo lakini kwenye kazi yangu najua ninachofanya
Anyways haihusu sana nilichokifanya ni kujaribu kutoa codes za connection za kutoboa kimaisha tu kwa kuwa introduce one of the Guru katika vitu fulani fulani..
Ndio nani huyo Fred Mboya?Utakuwa fred mboya
Ndio nani huyo Fred Mboya?
Wewe ndiyo Gilsant unajitangaza kiaina au imekaaje hapa?Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii
Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc
Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha
Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni
Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji
Gillsant mlaseko ni nani?
Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing
Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa
Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481
View attachment 1992503
Nilidhani peke yangu ndiyo siwajui.Ndo nani hao?
Hata Twitter hatuwajuiItakuwa lile taifa la twita
Kwaiyo mkuu unamaanisha na wewe wakati unaolewa mlikua mmeshafanikiwa?Safi sana,watu wamefanikiwa ndo wanaingia ndoani.
Sio wajinga wengine hata ktanda hawana wanaforce watengenezewe harusi kubwa.
Kaka /dada/ mkuu Ngoja nikufundishe kitu kimoja kwa niaba ya wana JF wotebaba yako na mama yako wamekaa mahali wanajiona wana mtoto
kumbe takataka inakaa kufuatilia na kuandika ndoa za watu na kulazimisha eti ndoa ya taifa
ndugu, mimj siwajui hao watu!!!!!!!!!!!!!!!!! trust me wengi hawawajui, usilazimishe kusema ndoa ya taifa
Ukoroooooooofiiiii🤣Kwaiyo mkuu unamaanisha na wewe wakati unaolewa mlikua mmeshafanikiwa?