Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Ndiyo nawasikia, kuna alama/mark ipi inayowatambulisha mpk sasa kwa taifa letu...
 
Duh, mtu mwenyewe hata mta wapili hajulikani kutujazia server tu hapa!! Eti simamisha Taifa, kabana pua kabisa!!!😂😂😂😂Haya mpiga mzumari ukashibe vyema ubwabwa!!
Nae eti ndio anampa promo bwana harusi ili apate vipapatio vya vyuku vingi kwa kazi ya kumpa pro bwana harusi, bwana harusi mwenyewe kwa kumuangalia tu unajua ni walewale wa kujisifu kwenye vigrosary vya kwa mpalange.
 
Ndiyo nawasikia, kuna alama/mark ipi inayowatambulisha mpk sasa kwa taifa letu...
Hii ni celebrity forumn bro/sister kwani kuwa celeb ni lazima uwe umeweka alama kwenye taifa..?
 
Brother yes nilikuwa mwajiriwa wa Airtel na kwa taarifa yako tulifanya project kubwa ambayo one of the competitor alikuja kufanya headhunt na mie nikawemo unaweza niona sina akili lakini waliokuja kufanya headhunt wanajua walikuja kuchukua vichwa vya aina gani

Naweza kuwa naandika utoporo lakini kwenye kazi yangu najua ninachofanya

Anyways haihusu sana nilichokifanya ni kujaribu kutoa codes za connection za kutoboa kimaisha tu kwa kuwa introduce one of the Guru katika vitu fulani fulani..
Ss Taifa zima ndio litapata connection kwenu?.
 
Swali la kwanza umejibu. Swali la mada yenyewe, huyo mtu anayedai ni wa taifa ni nani na anafanya nini. Huwezi taja mtu kisa mnapeana lift ukadhani sote tunamjua
 
Uyu jamaa namjua kutoka tabora amesoma either mihayo au uyui secondary school ,advance amesoma moa high school kimara na kina ferouz mabange wa daznundaz pia najua amewah kupiga mzigo airtel ila huu uguru wakusimamisha taifa la walipa tozo ndio nausikia kwako mkurungwa by the way uko na good marketing strategy nitaiangalia hio swahili digital kwa google na nitai rate accordingly
 
Back
Top Bottom