MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 7,986
- 6,248
Ha hahaaaa.... tena ubwabwa wa boarding ya sekondari!!Mbona unaandika kama ndio upo kwenye foleni ya ubwabwa
Ha hahaaaa.... tena ubwabwa wa boarding ya sekondari!!Mbona unaandika kama ndio upo kwenye foleni ya ubwabwa
Ukiona kwenye harusi bibi harusi kachangamka na anacheza sana ujue ndoa haiwezi dumu hiyo!!Bibi harusi kachangamka sana...hapo kuna mambo hayapo sawa wait huu uzi utafukuliwa siku
Kuweni na huruma, jamaa hajui kama akimbie au afanye nini.
Promo alizokuja nazo zimemtokea puani.
Kaka /dada/ mkuu Ngoja nikufundishe kitu kimoja kwa niaba ya wana JF wote
Nchini humu katika uwanda wa biashara kuna biashara za aina mbili
B2C na B2B
Wanaofanya biashara za B2C ndio wanajulikana sana sababu wana ingage sana na wateja na matajiri wengi unaowajua wewe ni B2C kina Fredy vunja bei, Michael ngeleku, Aboud hao wengi hufanya biashara za B2C
Ila sasa hao wanaofanya biashara ya B2C kuna watu hufanya nao B2B
Na kwenye B2B ndio hujuana na watu wengi ambao in one way or another itakuwa ni connection na watu
Na kuna matajiri wanapiga hela sana kwa B2B na B2G
Mfano Lugumi anapiga sana hela na B2G na ni ukweli usiopingika kuwa mtu kama Lugumi anaweza kukupa connection ya maana sana ukatoboa hapa nchini kuliko wale wahindi wenye supermarket za shoppers ambao wao hufanya B2C
You get my point
Na kutomjua mtu wewe haizuii kuwa huyo mtu hajulikani sema it's not your cycle
Sasa kama mtu anajulikana na corporates na ceo round table yoote unasema humjui..sikuzuiii ila what you have to do is to take a note kumjua huenda ikawa msaada kwenye maisha yako
Ww pamoja na alieleta hii thread ni machawa wa huyo sijui Gilsant,bila yy hamuendi chooniLaiti ungejua uzito wa Gilsant usinge andika hivi. Ungepata nafasi ya kuhudhuria hii harusi ungemuelewa mleta uzi anamaanisha nini
Unamsifia mwanaume mwenzako hivi kuna walakiniKila siku mnatafuta connection za kutoka bongo
Hii ni sababu bongo katika kutoka ni lazima uwe na connection kwa namna moja au nyingine...watu wengi wanaofanya cooprerate kuwajua ni rahisi sana kutoka kimaisha
Unaacha kuwajua watu kama kina Gilsant, unawajua kina irene Paul halafu unasema bongo mchongo haupati baki hivyo hivyo
Bwana harusi kwanza ni mtu wa kulelewa hapo kwa huyo bimdashi kafuata mpunga ilhali katelekeza mke na mtoto,au labda connection unazungumzia ni hayo majimama ya mjini?Brother yes nilikuwa mwajiriwa wa Airtel na kwa taarifa yako tulifanya project kubwa ambayo one of the competitor alikuja kufanya headhunt na mie nikawemo unaweza niona sina akili lakini waliokuja kufanya headhunt wanajua walikuja kuchukua vichwa vya aina gani
Naweza kuwa naandika utoporo lakini kwenye kazi yangu najua ninachofanya
Anyways haihusu sana nilichokifanya ni kujaribu kutoa codes za connection za kutoboa kimaisha tu kwa kuwa introduce one of the Guru katika vitu fulani fulani..
Kule Twitter republic wanaita vinjungaaHii ndo mibwabwa mivaa kaptula.
Usikute yanapumuliana kisogoni haya kuoa kuzuga tu.
Mkuu Zakaria amedanja?Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hata ujifiche vipi biashara yako itakufanya ujulikane
Hata bakhressa sio mtu wa kuonekana. Ila biashara zake zimempa umaarufu
Mfano mwingine ali mafuruki,marehemu zakaria,
Sasa huyo bwana harusi unaemsifia kasimamisha nchi na sifa za mfanyabiashara mkubwa unampatia, huku hakuna hata mtu mmoja anaemjua humu. Maana yake ni sifa za kijinga unampatia
Chawa kama chawa mtakuja mpakuliwe siku moja kwa kujipendekezaUnavyosema hakuna hata mtu mmoja anayemjua umeshawauliza member wote
Huko Twitter wamemchambua vilivyo mpaka raia wameona umuhimu wa kuficha maisha ya mahusianoSijaona Uzi uko wapi huo?
Maana watu wakifunguka mume ataona huyu mke au public consumption
Au sio...Ww pamoja na alieleta hii thread ni machawa wa huyo sijui Gilsant,bila yy hamuendi chooni
Mim siwez kukutukana kwanza sikujui alafu sitaki kuwa kundi la wajinga kama wewe, bro we ni mjinga sanaChawa kama chawa mtakuja mpakuliwe siku moja kwa kujipendekeza
Mbona unaandika kama ndio upo kwenye foleni ya ubwabwa
Hata wewe mleta mada ulikuwa mwajiriwa wa Airtel? Basi ndio sababu huu ni mtandao mbovu, unaajiri watu kama wewe. Umeandika as if huyo bwana harusi aliwahi kujisaidia haja kubwa uwanja wa taifa kwahiyo watu wote tunamjua.
Umesema CEOs watakuwepo pale kwani ana hadhi gani na maajabu gani kwenye masoko. Tueleze