GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Ni aibu sana kwa mambo ambayo yamekuwa yakifanyika na wasomi wa nchi hii. ni aibu. tunao wawili wanasheria wawili ambao walikana maandiko yao. kwa aibu kubwa sana Dr Mwakyembe na Prof Shivj mzee ambaye miaka ya nyuma aliheshimika sana kwenye mambo ya katiba. lakini kwenye bunge la katiba kulitokea vituko vikubwa sana katika nchi hii kutoka kwa wasomi hawa ambao walishawah sana kuandika kuhusiana na mambo ya katiba na Muungano. bila aibu au kuficha sura walikana maandiko yao. kabisa na wakiwa na amcho makavu wakayakana na kuuma uma maneno. wakatoa mfano mbaya sana kwa vijana wa taifa hili na kudhalilisha wasomi kwa kiwango kikubwa sana.
dr bana..huyu kiuhalasia amekuwa mfano mbaya sana wa wasomi... mfano mbaya sana ambao haufai hata kutolewa kwa watoto au vijana wanaochipukia kwenye elimu na siasa. amekuwa ni mtu ambaye amekua akitoka matamako ya hovyo akitetea vitu vya hovyo ili mradi vinafanyika na watu wake anaowaamini katika siasa. msomi anapaswa kuwa mtu ambaye anachuja mambo na kuyapima kwa kina na si kuendeshwa na njaa au imani.
prof lipumba huyu amekuwa ni mmoja kati ya wasomi wa hovyo kupata kutokea dunian ingawa katika uchumi anaonekana ni msomi wa juu sana lakini katika siasa ameshindwa kabisa na kuwa mmoja ya binadam vituko na hopeless kupata kutokea. taifa lilipoteza pesa nyingi sana kuwasomesha watu kama hawa ambao wamekuwa hawana mchango chanya katika jamii kubwa. wametanguliza matumbo mbele na kuacha akili chini wakizikanyaga.