Taifa letu lingekuwa upinzani wa kweli CCM ingeg'olewa madarakani kiurahisi sana

Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.

Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.

CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.

Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
utakua kilaza mpaka kufa kwako, hv viongozi wote wa NEC wanachaguliwa na mwenyekiti wa ccm upinzani unawezaje kushinda hata tukiwapigia kura mijizi ccm inaiba, inateka watu na kuwaua wengine bila huruma. Wakati mwingine kabla hujaandika jitafakari unatia watu hasira.
 
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.

Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.

CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.

Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Ingia upinzani uone! Not that much easy as you think behind keyboard. Wapinzani hadi uhai wamepoteza, achilia mbali majeraha ya risasi za moto lakini CCM bado ipo palepale.
 
Ilishang'olewa 2015 sema nguvu ya dola ilitumika kubadili matokeo.
 
Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.

Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.

Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.

Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.

Sijaona shutuma zako kwa serikali wakati unadai kumbe upinzani unaiunga mkono tu serikali kwenye kutugeuza geuza kama chapati..

Kama hoja yako ni sahihi mwovu zaidi si ni serikali basi? Au ni ushauri yako kuwa tumvalie njuga zaidi serikali sasa?
 
Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.

Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.

Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.

Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.
Kama nimekuelewa vizuri unamaanisha katiba ya sasa inaruhusu watu kujilimbikizia mali!
 
Upinzani uko imara.
stylin.gif
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom