Taifa letu linaharibiwa na watoto wa vigogo wa CCM waliorithiswa madaraka na wazazi wao. Tabia za kulifanya taifa letu la kisulutani inatugharimu

Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu.

Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya Ccm kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha wawe viongozi.

Ccm ya leo imetuletea viongozi wabaya na wasiofaa kabisa ambao wao kujaza matumbo yao ni kipaumbele kuliko maslahi ya taifa letu.

Mfano ni January Makamba na Nape Nauye hawa vijana hawafai kuwa viongozi bali warithishwa na sasa ni mwiba kwa taifa.

Usulutani wa Ccm unaligharimu taifa letu.
lkn ni nani anawachagua hawa watoto?si sisi ndo tunaoiharibu nchi kwa kuwarudisha hawa watoto bungeni?tujitafakari ni wapi tumedondokea na tujisahihishe.
 
Kwa hiyo unataka Katiba mpya sasa?
Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu.

Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya CCM kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha wawe viongozi.

CCM ya leo imetuletea viongozi wabaya na wasiofaa kabisa ambao wao kujaza matumbo yao ni kipaumbele kuliko maslahi ya taifa letu.

Mfano ni January Makamba na Nape Nauye hawa vijana hawafai kuwa viongozi bali warithishwa na sasa ni mwiba kwa taifa.

Usulutani wa CCM unaligharimu taifa letu.
 
Wote ni wachumia tumbo na wao ndio wanasabisha taifa linafika hapa wanajaza unafiki kwa walio juu yao kimadaraka.

Nafikiri ili taifa kwa ccm ata miaka 30 inayo maji na vyoo mashuleni itakua changamoto

Au nasema uwongo ndugu zangu
 
Dawa ni katiba mpya na tume huru,tupambane kuwachomoa.

Tulimchomoa mkoloni mweupe,huyu mkoloni mweusi tutamshinda tu.
Kwamba tupate Katiba itakayomzuia mtoto wa mstafaa kupata uongozi hata kama ana uwezo?

Babako, mjomba au shangazi yako kuwa kiongozi wa nchi hii kunakunyang'anya wewe haki zako za kiraia?

Siasa ni hoja, tengenezeni hoja kuwashinda wapinzani wenu, acheni ubaguzi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tukumbushane nani waligomea rasimu ya katiba mpya ilipokuwa inaendelea na kwanini?
 
Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu.

Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya CCM kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha wawe viongozi.

CCM ya leo imetuletea viongozi wabaya na wasiofaa kabisa ambao wao kujaza matumbo yao ni kipaumbele kuliko maslahi ya taifa letu.

Mfano ni January Makamba na Nape Nauye hawa vijana hawafai kuwa viongozi bali warithishwa na sasa ni mwiba kwa taifa.

Usulutani wa CCM unaligharimu taifa letu.
Acha uoga wengine mbona huwataji?....
 
Kwamba tupate Katiba itakayomzuia mtoto wa mstafaa kupata uongozi hata kama ana uwezo?

Babako, mjomba au shangazi yako kuwa kiongozi wa nchi hii kunakunyang'anya wewe haki zako za kiraia?

Siasa ni hoja, tengenezeni hoja kuwashinda wapinzani wenu, acheni ubaguzi.
Katiba itaweka uwanja wa haki na usawa ktk siasa.

Kwani ni wao tu ndio wenye uwezo miaka nenda rudi? Mbona kuna watu wengi sana wenye uwezi wa hali ya juu kuzidi wao lakini mifumo mibovu iliyowekwa inawazuia?

Hao watoto hawana uwezo kiuongozi wanabebwa tu ivyo katiba bora ndo itaweka viongozi halisi sio hawa viongozi madeal
 
😁😁😁
Uk.jpg
 
Back
Top Bottom