Taifa letu linaharibiwa na watoto wa vigogo wa CCM waliorithiswa madaraka na wazazi wao. Tabia za kulifanya taifa letu la kisulutani inatugharimu

Wanachoweza ni kuropokaropoka tu.
Anayeropoka ni anayeunga mkono vitendo vya kihalifu Kwaaslahi ya wachache pamoja na wanaozuia kupatikana katiba mpya Kwa hofu ya maslahi Yao ya uporaji kukoma na wao kuwajibishwa.
 
Back
Top Bottom