Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa.

Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi?

Zuio la mikutano ya kisiasa ambayo Mama amesema mtulize boli mpaka hapo baadaye?

Kwani mikutano ya siasa ndio dili kwenu? Kwani sasa hivi hamuwezi kufanya ndani ya majimbo?

Katiba mpya nayo mnakomaa kuua so tu. Lakini hata kama tukipata katiba mpya mna hoja gani za kuwavuta watz na kupata nguvu ya umma ili mkamate dola?
 
Watanzania tunataka serikali ituletee maendeleo, siyo kunywa juisi kwenye ikulu yetu na vibaraka wa mabeberu.
 
Juice mbona ni mchujo wa matunda toka Tanga sio gharama.
Gharama kukatwa kodi nakuwalipa wabunge wakupita bila kupingwa na wabunge hewa.

Hata wale wavyeti feki walionewa tu.Aliyewatoa ndiye alikuwa feki zaidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom