Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.
Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.
Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.
Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.
Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.