Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni wa kuheshimu na kukubali ukosoaji

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
484
541
Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni wa kuheshimu na kukubali ukosoaji wa aina yoyote ile, na si
usengenyaji.

Kuyaona madhaifu ya mwenzako na kumweleza yeye mwenyewe ni kumkosoa, lakini kwenda kuyaeleza
madhaifu hayo kwa wengine ni kumsengenya alisema Nyerere kupitia chapisho lake la Tujisahihishe.

CHADEMA kuikosoa serika wanaonekana ni wahalifu, wanaonwa ni magaidi, as if wao si watanzania,..Wito wangu kwa chama kinacho tawala, Tukubali kukosolewa ili tujirekebishe.
 
Ukiona hautaki/upendi kukosolewa jua bado haupo tayari kubadirika, na kama haupo tayari kubadirika tambua you're not matured enough
 
Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni
wa kuheshimu na kukubali ukosoaji wa aina yoyote ile, na si
usengenyaji. Kuyaona madhaifu ya mwenzako na kumweleza
yeye mwenyewe ni kumkosoa, lakini kwenda kuyaeleza
madhaifu hayo kwa wengine ni kumsengenya alisema Nyerere
kupitia chapisho lake la Tujisahihishe.Chadema kuikosoa serika wanaonekana ni wahalifu,
wanaonwa ni magaidi,as if wao si watanzania,..Wito wangu kwa chama kinacho tawala,
Tukubali kukosolewa ili tujirekebishe.
CCM NI JANGA LA DUNIA KULIKO CORONA
 
Hata Polepole kasema Kukosoa ni Msingi wa Demokrasia na Ujamaa.
 
Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni
wa kuheshimu na kukubali ukosoaji wa aina yoyote ile, na si
usengenyaji. Kuyaona madhaifu ya mwenzako na kumweleza
yeye mwenyewe ni kumkosoa, lakini kwenda kuyaeleza
madhaifu hayo kwa wengine ni kumsengenya alisema Nyerere
kupitia chapisho lake la Tujisahihishe.Chadema kuikosoa serika wanaonekana ni wahalifu,
wanaonwa ni magaidi,as if wao si watanzania,..Wito wangu kwa chama kinacho tawala,
Tukubali kukosolewa ili tujirekebishe.
Wito wangu kwa chama kinacho tawala,
Tukubali kukosolewa ili tujirekebishe.
 
Back
Top Bottom