Taifa la Ndoto, Utabiri kila mtu anaoteshwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa la Ndoto, Utabiri kila mtu anaoteshwa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Miruko, Mar 30, 2011.

 1. M

  Miruko Senior Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Taifa la ajabu kabisa. Kila mtu anaoteshwa na tunaamini. Tunamiminika kwake kunywa dawa. Nimesubiri atokee mwenye dawa ya utajiri au kuongeza pesa mfukoni hajatokea. Usiku wa leo nimepata ndoto. Ifuatilie hapa<<Kisima cha Fikra>>
   
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ametokea mtabiri mtwara anatabiri maisha yako kwa kadri utakavyotoa hela,laki moja anakutabiria mwezi utakao uchagua, milioni moja na laki mbili anakutabiria ya mwaka mzima utakoa utaka..
   
 3. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa mawasilianao nae pigeni simu namba
   
 4. C

  Chumbageni Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hajatokea anaye tabiri uchaguzi wa CCM mwakani?
   
Loading...