William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Wakuu toka jana baada ya kusikia kusafishwa kwa Lowassa na ishu nzima ya Richimonduli, nimekuwa ninajiuliza maswali mengi sana kuhusiana na taifa letu kukosa muelekeo kiuongozi, na for some reason something is telling me kwamba huenda CCM is too big kama chama cha siasa. Ninasema kwamba CCM is too big ni kwa sababu haijawahi kutokea katika historia ya siasa duniani, chama kimoja cha siasa kikawa na sera nyingi kama ilivyo CCM, I mean wakati umefika wa CCM kugawanyika tena sasa as the only solution forward kwa manufaa ya taifa na hasa wananchi walalahoi.
- CCM haiwezekani kikawa chama cha wakulima, halafu kikawa chama cha wafanyakazi, and then kikawa chama cha wafanyabiashara, chama cha wapiganaji, chama cha wasiotaka Muungano na Visiwani, chama cha wanaotaka Muungano, halafu tena kikawa chama cha wajasiriamali, chama cha vijana, chama cha wazee asilia, chama cha Mtandao, chama cha walalahoi na pia chama cha kibepari, chama cha wahindi, I can go on and on sasa kibaya zaiidi ni kwamba hizi sera zote zina vikundi mbali mbali ambavyo in the end vinachangia one problem nayo ni CCM kutokuwa na one serious sera as muongozo wake kwa taifa hili, na the worst ni creation ya mazingara ambayo ni politically unworkable kwa solutions za matatizo ya taifa. Sasa hawa CCM wamegeuka na kuwa chama cha kutawala tu!
- CCM ya Mwalimu ilikuwa na sera, ya sasa simply haina sera, sera za CCM zimekua ni nyingi mno, makundi ni mengi mno hata walioanzisha demokrasia they never intended mkusanyiko wa wingi wa sera kama ilivyo katika hiki chama, ninasema hivi ni vyema CCM ikabaki na wanachama wachache lakini iwe na sera moja acceptable kwa wanachama wake wote. Ndio maana majuzi wananchi wa US wamempeleka Scott Brown Senate, ni baada ya kuona kwamba Democrats hawana sera inayoeleweka as the results mwaka mmoja wa Obama na control ya mabunge yote mawili wameshindwa kupitisha anything serious badala yake wamebakia kubwakiana kati ya Blue Democrats, mara Liberals Democrats, mara Centrists Democrats, sasa wananchi wakaona enough of bickering na kukosa muelekeo ngoja waimarishe checks and balance.
- Leo Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, mara Waziri Mkuu anadai umaskini ndio iwe sera ya uongozi wa CCM, wengine kina Makinda wanasema no way hiyo ni sera yake mwenyewe, bunge la CCM lilisema watuhumiwa wa Richimonduli wachukuliwe hatua, CCM hiyo hiyo tena sasa imegeuka kwamba hapana hawana makosa, Sophia Simba anataka mswaada wa usalama wa CCM, lakini tena CCM hao hao bungeni wanamkimbiza na mswaada, wananchi we are very fast a sleep to know kinachoendelea, enough! jamani vunjeni chama sasa tujue nani ni nani na ndio the only solution ya the way forward kwa hili taifa na mueleko wa kisera!
- Tanzania sasa umefika wakati ni lazima tuongozwe na chama chenye sera inayokubalika na wanachama wote wa hicho chama, na chama kisicho na makundi mengi sana kama CCM ilivyo sasa hivi, ni ushauri wangu wa bure!
Respect.
Field Marshall Es = Wazee wa Sauti Ya Umeme!