Taifa Kukosa Muelekeo & Sera: Is CCM Too Big For Itself?

Apr 27, 2006
26,588
10,374
- Wakuu toka jana baada ya kusikia kusafishwa kwa Lowassa na ishu nzima ya Richimonduli, nimekuwa ninajiuliza maswali mengi sana kuhusiana na taifa letu kukosa muelekeo kiuongozi, na for some reason something is telling me kwamba huenda CCM is too big kama chama cha siasa. Ninasema kwamba CCM is too big ni kwa sababu haijawahi kutokea katika historia ya siasa duniani, chama kimoja cha siasa kikawa na sera nyingi kama ilivyo CCM, I mean wakati umefika wa CCM kugawanyika tena sasa as the only solution forward kwa manufaa ya taifa na hasa wananchi walalahoi.

- CCM haiwezekani kikawa chama cha wakulima, halafu kikawa chama cha wafanyakazi, and then kikawa chama cha wafanyabiashara, chama cha wapiganaji, chama cha wasiotaka Muungano na Visiwani, chama cha wanaotaka Muungano, halafu tena kikawa chama cha wajasiriamali, chama cha vijana, chama cha wazee asilia, chama cha Mtandao, chama cha walalahoi na pia chama cha kibepari, chama cha wahindi, I can go on and on sasa kibaya zaiidi ni kwamba hizi sera zote zina vikundi mbali mbali ambavyo in the end vinachangia one problem nayo ni CCM kutokuwa na one serious sera as muongozo wake kwa taifa hili, na the worst ni creation ya mazingara ambayo ni politically unworkable kwa solutions za matatizo ya taifa. Sasa hawa CCM wamegeuka na kuwa chama cha kutawala tu!

- CCM ya Mwalimu ilikuwa na sera, ya sasa simply haina sera, sera za CCM zimekua ni nyingi mno, makundi ni mengi mno hata walioanzisha demokrasia they never intended mkusanyiko wa wingi wa sera kama ilivyo katika hiki chama, ninasema hivi ni vyema CCM ikabaki na wanachama wachache lakini iwe na sera moja acceptable kwa wanachama wake wote. Ndio maana majuzi wananchi wa US wamempeleka Scott Brown Senate, ni baada ya kuona kwamba Democrats hawana sera inayoeleweka as the results mwaka mmoja wa Obama na control ya mabunge yote mawili wameshindwa kupitisha anything serious badala yake wamebakia kubwakiana kati ya Blue Democrats, mara Liberals Democrats, mara Centrists Democrats, sasa wananchi wakaona enough of bickering na kukosa muelekeo ngoja waimarishe checks and balance.

- Leo Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, mara Waziri Mkuu anadai umaskini ndio iwe sera ya uongozi wa CCM, wengine kina Makinda wanasema no way hiyo ni sera yake mwenyewe, bunge la CCM lilisema watuhumiwa wa Richimonduli wachukuliwe hatua, CCM hiyo hiyo tena sasa imegeuka kwamba hapana hawana makosa, Sophia Simba anataka mswaada wa usalama wa CCM, lakini tena CCM hao hao bungeni wanamkimbiza na mswaada, wananchi we are very fast a sleep to know kinachoendelea, enough! jamani vunjeni chama sasa tujue nani ni nani na ndio the only solution ya the way forward kwa hili taifa na mueleko wa kisera!

- Tanzania sasa umefika wakati ni lazima tuongozwe na chama chenye sera inayokubalika na wanachama wote wa hicho chama, na chama kisicho na makundi mengi sana kama CCM ilivyo sasa hivi, ni ushauri wangu wa bure!

Respect.

Field Marshall Es = Wazee wa Sauti Ya Umeme!
 
The one and only one thing ambayo imenifanya nifikirie sana for the last 20 - 30 hrs ni kwamba hiki ni chama cha namna gani ambacho hakiogopi wapiga kura?????????

At least I understand one of the most basic and important value to any political party is NEVER EVER INSULT THE VOTERS. Hii inaonekana haiko applicable kwa CCM, they can insult, they can mock and they can abuse the voters and yet be very confident.

In short hawa jamaa wamekuwa so arrogant! They fear no body except money, They respect no body except the rich and love no body except themselves.
 
They know they can get away with it kwa sababu ya njaa ya wapiga kura, wakipikiwa pilau na kupewa fulana na kanga kwisha!
 
They know they can get away with it kwa sababu ya njaa ya wapiga kura, wakipikiwa pilau na kupewa fulana na kanga kwisha!

Nadhani njaa si tatizo sana, kwani hiyo pilau huwa ni siku moja tu ok sayh hata kama ni ule mwezi mzima wa campaign trail!!!!!!!! How come mtu aliyehongwa pilau in 2005 akawa hana njaa mpaka 2010?

To me what I believe ni kwamba CCM ya Nyerere ilitengeneza establishments mpaka kwenye family level as such bado kuna watu hasa vijijini they see, eat and drink nothing but CCM. Sasa cha ajabu watu kama akina muungwana a.k.a vijana badala ya kujenga chama chao kwa namna ya kisasa bado wamerely kwenye ile ile old skul loyalty. Wakisahau kwamba kizazi kile chenye imani thabiti na CCM kinakwisha. Yo now have voters BORN IN THE 90'S. Kijana amezaliwa 1992 is an eligible voter. Wasiwasi wangu ni kwamba tukiendelea namna hii (Ujanja ujanja kwenye kuongoza nchi) tutafika mahali nchi inaweza kuwa mfano wa Haiti, I mean ikawa haitawaliki.
 
I think we have now started to direct our thinking to where we should have started long before. CCM sasa ni tatizo kwa Tanzania. It is no longer the Party it used to be and it will never be again. We have to come to the point of agreeing that Tanzania ndio mama yetu, maslahi ya Tanzania yanatakiwa kuwa mbele ya kila kitu, including kuwa mbele ya CCM.

We are in the situation where CCM has monopilized politics, hakuna genuine political competion. Kibaya zaidi hata CCM yenyewe imekuwa monopolized na baadhi ya watu. Sasa hivi tumekwama, na inayotukwamisha ni CCM, solution moja ni kuomba Mungu imeguke, ije CCJ, may be inaweza kuwa suluhisho.

In other words ni kuwa mafisadi (EPA, Richmond, Radar, etc etc) tayari wameshinda, na watanzania tumeshindwa, au in other words tuliowapa dhama have failed us. Kibaya zaidi ni kuwa sasa watanzania wanajua kuwa tunachezewa. So we have useless bunge now, ambalo lina-kowtow kwa kundi dogo la watu wa CCM.
 
Big up mkuu, in fact CCM imetuteka, we have the right to tell these dudes "WE NEED OUR COUNTRY BACK"
 
Kama usemavyo FMES maybe our GOP is too big to fail, the likes of Goldman Sachs..............kwa hiyo inabidi ilindwe lindwe tu na kufukiwa fukiwa tu!!!!!!
 
- Tanzania sasa umefika wakati ni lazima tuongozwe na chama chenye sera inayokubalika na wanachama wote wa hicho chama, na chama kisicho na makundi mengi sana kama CCM ilivyo sasa hivi, ni ushauri wangu wa bure!
Mkuu FMES,
Nafikiri CCM sasa inakufa bila kujifahamu. Kinachoiweka kwenye dripu hivi sasa ni kukosekana tu kwa replacement inayokubalika, lakini otherwise sidhani kama ni chama mlalahoi anachoweza akakipigia kura kwa maslahi yake. Kungekuwepo chama kingine cha kuaminika, sidhani kama JK na watu wake wangewachezea akili waTZ kiasi hiki.
 
- Wakuu toka jana baada ya kusikia kusafishwa kwa Lowassa na ishu nzima ya Richimonduli, something is telling me kwamba huenda CCM is too big kama chama cha siasa, wakati umefika wa CCM kugawanyika tena sasa as the only solution forward kwa manufaa ya taifa na hasa wananchi walalahoi.

- Sasa hawa CCM wamegeuka na kuwa chama cha kutawala tu!

- Leo Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, enough! jamani vunjeni chama sasa tujue nani ni nani na ndio the only solution ya the way forward kwa hili taifa na mueleko wa kisera!

Respect.

Field Marshall Es = Wazee wa Sauti Ya Umeme!
.

Kwanza heshima mbele Mzee FMES, pili asante kumbe na wewe sasa ndio umeliona hili tangia jana! na sasa unasimama uhesabiwe kwa kusema enough! .

Mzee Mwanakijiji alishayaona hayo kitambo na ameshaandika sana. Mimi ni miongoni mwa waumini kuwa really changes must come from within otherwise ni superficially.

Kesema ukweli, post kama hii, toka kwa mtu kama wewe, huu sasa ndio uthibitisho wa true and genuine patriotism kwa nchi yako kwa kuweka maslahi ya taifa mbele beyond party politics.

Niko hapa Dodoma, wale tuliokuwa na mategemeo nao, ndio hao tena wamekuwa wamoja, wapiganaji ndio washafisha mafisadi, and now they sail the same boat united as one.

My opinion, kusubiri CCM imeguke its just a wishful thinking na tutangoja milele!. Something has to be done now more than ever, sasa ni nini cha kufanyika, lini na namna gani, is subject to more discussion to follow ila
Mzee umesikika sasa ni bado tuu kusimama nawe uhesabiwe!

"Together we can, bring the changes we can believe in"... Yes we can!

Asante

Pasco.
 
FMes umenena. Laana ya Tanzania sio watanzania. Ni hili likitu linalojiita CCM. Limekumbatia kila aina ya takataka kiasi kwamba limepoteza ufahamu wa kuwa Tanzania siyo CCM na inaweza endelea kuwepo bila hata ya CCM. CCM ile iliyokuwa ya wakulima na wafanyakazi, sasa hivi ndio msaliti mkubwa wa watu hao kwa kukubali kubeba watu ambao hawana sifa za ukulima wala ufanyakazi. Ni ujanja ujanja tu wa kujitengenezea pesa kupitia siasa.
Nafarijika sasa tunaanza kugundua tatizo liko wapi, na ndio maana huwa sitaki kuamini katika hawa wanasiasa wa Tanzania maana wengi wamejaa hila ilimradi waendelee kushibisha matumbo yao kwa gharama yoyote ile.
 
Lakini kwa nini kilio chetuu kimekosaa waliajia kama wale waliojipambanunua kama wapiganaji wa ufisadi ndani ya CCM?? Walijitokeza wakatuaminishaa wako katika vita kumbe leo tumegunduaa nao ndo mafisadii zaidi kwani WAMETUSALITI MCHANAA KWEUPEE..

Bora walee tunaoaminishwaa ni mafisadi ambao leo wameshinda kwa kuonekana vita ile ilikuwa ni ya kimasilahi binafsi zaidi hasaa kujulikana kwa umma kuwa wapo pia wapiga kelele hasa KWA KUKOSAA NAFASI ZA KULA KAMA WANAOKULAA MEZA KUU..Maneno ya Muadhama Kardinali Pengo hapa yanatimia..

Tuwaelewejee wapiganaji kama SITA, MWAKYEMBE, SHELUKINDO, MENGI, SELELI, KILANGO, LEMBEHI, KIMARO, MPENDAZOE, SENDEKA NA WENZAO????? NI WASALITII WA DEMOKRASIA KWA MANUFAA YA MATUMBOO YAOOO KUPITIA NAFASI YA UBUNGEE KWA CHAMA CHAO..

Naaminii hawaa sio wakushindaa chaguzi bila fauluu za chama chao kwa umma...hawa sio mtaji kwa umma kama Dr slaa anayeweza kuondoka kwenye mizengwe na bado akashindana nayo kuishindaa..
 
- , I mean wakati umefika wa CCM kugawanyika tena sasa as the only solution forward kwa manufaa ya taifa na hasa wananchi walalahoi.

- CCM haiwezekani kikawa chama cha wakulima, halafu kikawa chama cha wafanyakazi, and then kikawa chama cha wafanyabiashara, chama cha wapiganaji, chama cha wasiotaka Muungano na Visiwani, chama cha wanaotaka Muungano, halafu tena kikawa chama cha wajasiriamali, chama cha vijana, chama cha wazee asilia, chama cha Mtandao, chama cha walalahoi na pia chama cha kibepari, chama cha wahindi, I can go on and on sasa kibaya zaiidi ni kwamba hizi sera zote zina vikundi mbali mbali ambavyo in the end vinachangia one problem nayo ni CCM kutokuwa na one serious sera as muongozo wake kwa taifa hili, na the worst ni creation ya mazingara ambayo ni politically unworkable kwa solutions za matatizo ya taifa. Sasa hawa CCM wamegeuka na kuwa chama cha kutawala tu!

- .

- Leo Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, mara Waziri Mkuu anadai umaskini ndio iwe sera ya uongozi wa CCM, wengine kina Makinda wanasema no way hiyo ni sera yake mwenyewe, bunge la CCM lilisema watuhumiwa wa Richimonduli wachukuliwe hatua, CCM hiyo hiyo tena sasa imegeuka kwamba hapana hawana makosa, Sophia Simba anataka mswaada wa usalama wa CCM, lakini tena CCM hao hao bungeni wanamkimbiza na mswaada, wananchi we are very fast a sleep to know kinachoendelea, enough! jamani vunjeni chama sasa tujue nani ni nani na ndio the only solution ya the way forward kwa hili taifa na mueleko wa kisera!

- Tanzania sasa umefika wakati ni lazima tuongozwe na chama chenye sera inayokubalika na wanachama wote wa hicho chama, na chama kisicho na makundi mengi sana kama CCM ilivyo sasa hivi, ni ushauri wangu wa bure!

Respect.

Field Marshall Es = Wazee wa Sauti Ya Umeme!
Heshima kwako FMEs,
ujumbe murua, nakubaliana nawe kwa hoja hizo juu, mpambano wakurejesha nidhamu na adabu kwenye uongozi na utawala wa nnchi...
Kwangu CCM ni chama kilichochoka, kilichooza, kisicho na dira wala mwelekeo, chama kisichounganika, chenye viongozi wanaonunua kura, wasio kubarika kwenye uwanja sawa wa uchaguzi.
haitoshi kuwalaani tu, sasa ninani wakututoa hapa....
ni nani alietayari kujitoa muhanga kama kina Mandela , Stive Biko, Nkuruma, Augustino Neto, Didan Kimath.....hawa walijitoa Muhanga kuipigania jamii yao, kupambana na watawala dhalimu, wengine walipoteza maisha kwa faida zao, kweli ni jambo lenye kusisimua.
sasa ni kiongozi gani wa TZ anaeweza kujitoa Muhanga kwa ajili ya ustawi wa Taifa hili, nani yuko Tayari kwenda Jela maisha kwa kutuhumiwa uhaini, nani yuko tayari kubeba lawama za maandamano na vurugu za nnchi nzima katika kuelekea kuung'oa utawala mmbovu...?
hakuna ukombozi kwa kukaa na kupiga siasa pale Habari Maelezo.
lakini kwa wansiasa wa kariba ya Mrema Lyatonga , John Cheo sahau juu ya ukombozi wa nnchi yetu kutoka kwa wakaloni WEUSI.
 
.

Kwanza heshima mbele Mzee FMES, pili asante kumbe na wewe sasa ndio umeliona hili tangia jana! na sasa unasimama uhesabiwe kwa kusema enough! .

Mzee Mwanakijiji alishayaona hayo kitambo na ameshaandika sana. Mimi ni miongoni mwa waumini kuwa really changes must come from within otherwise ni superficially.

Kesema ukweli, post kama hii, toka kwa mtu kama wewe, huu sasa ndio uthibitisho wa true and genuine patriotism kwa nchi yako kwa kuweka maslahi ya taifa mbele beyond party politics.

Niko hapa Dodoma, wale tuliokuwa na mategemeo nao, ndio hao tena wamekuwa wamoja, wapiganaji ndio washafisha mafisadi, and now they sail the same boat united as one.

My opinion, kusubiri CCM imeguke its just a wishful thinking na tutangoja milele!. Something has to be done now more than ever, sasa ni nini cha kufanyika, lini na namna gani, is subject to more discussion to follow ila
Mzee umesikika sasa ni bado tuu kusimama nawe uhesabiwe!

"Together we can, bring the changes we can believe in"... Yes we can!

Asante

Pasco.

- Hapana mkuu ninasimama mabadiliko siku zote ila huwa sikurupuki, nisingeweza kusema haya huko nyuma kwa sababu sikuwa na sababu, ni sasa kwa maoni yangu ndio CCM wameanza kutoa sababu za msingi za sisi wananchi kudai kugawanyika kwao, ingawa kwako huenda walishazitoa zamani,

- Waliyoyafanya in the last four months ni simply kwamba chama ni kikubwa mno kwa hata Mwenyekiti wake kukisimamia, I understand weekend hii kuna kikao cha siri cha CC tutasubiri kuwasikia wanasema nini lakini ninasema kwamba wakati umefika wa sisi wananchi kudai kuvunjika kwa CCM ikibidi hata kwa ku-suggest kuundwa mswaada kama wa anti-trust kule US, uliovunja shirika kubwa la mafuta la Standard Oil la Rockefeller ambalo nalo lilikuwa kubwa mno kama CCM ya sasa, it took a new law kulivunja, wananchi tunahiatji sasa kudai haya ya sheria mpya ya kuivunja CCM, sababu za msingi zipo tena wazi!

- Mkulu Pasco, ni sasa ndio zipo sababu za msingi za kuanzisha sheria ya kuivunja CCM na hasa kitendo cha juzi cha kulitumia bunge kumsafisha Lowassa na wenzake, ahsante kwa kunielewa mkuu!

Mungu aibariki Tanzania.

Respect.

FMEs!
 
CCM sasa ni tatizo, (too big ,to strong for genuine political competition to serve the country), na hakuna dalili kuwa tatizo hilo litaondoka lenyewe. Nitasikitika sana kama waliojaribu kutupigania sasa watakuwa wametutosa kabisa (wamefuata ile ya if can not beat them join them), wameungana na mafisadi na kuwa kitu kimoja. Wanajua nani mwizi, nani fisadi they know everything, and they have chosen to be among them.

Kuna watu ambao nitawasikiliza kwa makini kuelekea 2010, sijui watatwambia nini. Na sijui ni nini watanzania tutafanya ili tujikwamue, lakini tunatakiwa kuwa na akili wazi kuwa tatizo letu ni CCM, CCM ya sasa sio ile ya 1977 na ni tofauti kabisa na ile ya 2000. We have something completely different which we desperately do not need, other wise come another 5 years Tanznaia itapiga hatua nyingie 10 nyuma.
 
- Hapana mkuu ninasimama mabadiliko siku zote ila huwa sikurupuki, nisingeweza kusema haya huko nyuma kwa sababu sikuwa na sababu, ni sasa kwa maoni yangu ndio CCM wameanza kutoa sababu za msingi za sisi wananchi kudai kugawanyika kwao, ingawa kwako huenda walishazitoa zamani,

- Waliyoyafanya in the last four months ni simply kwamba chama ni kikubwa mno kwa hata Mwenyekiti wake kukisimamia, I understand weekend hii kuna kikao cha siri cha CC tutasubiri kuwasikia wanasema nini lakini ninasema kwamba wakati umefika wa sisi wananchi kudai kuvunjika kwa CCM ikibidi hata kwa ku-suggest kuundwa mswaada kama wa anti-trust kule US, uliovunja shirika kubwa la mafuta la Standard Oil la Rockefeller ambalo nalo lilikuwa kubwa mno kama CCM ya sasa, it took a new law kulivunja, wananchi tunahiatji sasa kudai haya ya sheria mpya ya kuivunja CCM, sababu za msingi zipo tena wazi!

- Mkulu Pasco, ni sasa ndio zipo sababu za msingi za kuanzisha sheria ya kuivunja CCM na hasa kitendo cha juzi cha kulitumia bunge kumsafisha Lowassa na wenzake, ahsante kwa kunielewa mkuu!

Mungu aibariki Tanzania.

Respect.

FMEs!
Mkuu FMEs, asante tena, tumekuelewa na tuko nyuma yenu!
 
Tatizo kubwa letu sisi waTanzania ni kupenda kulaumu kila mtu kasoro sisi wenyewe. Wakuu waliotangulia wamenena mengi ya ukweli lakini hebu tukae chini na kutafakari, nini nani au ni kipi kinachowapa CCM kiburi na kujiamini huku kiasi cha kutokujali na kuheshimu mwaka wa uchaguzi mkuu?

Jibu tunalo sisi wenyewe. Itakapofika tarehe 30 mwezi wa kumi mwaka huu, mamilioni yetu wataenda kuwapigia kura hao hao wasiotujali, wasioheshimu kanuni zao wenyewe, maadili, heshima na dhifa ya utawala na wataliwa. Mamilioni yetu tutaimba na kucheza Kidumu chama cha mapinduzi na sisi sisi tutaitikia Kidumuuu!!!

Unajua sisi huku bara tunapenda sana kuwabeza wenzetu wa visiwani kwa kupenda kulalamika na kulaumu kila mtu kasoro wao wenyewe badala ya kufanya kazi kwa bidii, je sisi tuna tofauti yoyote na hao tuwabezao?

Wahenga wanasema, dawa ya jino bovu ni kuling'oa, sisi tunasubiri nini?

Wakulaumiwa ni sisi wenyewe, ni sisi wananchi ndio tuliowatengenezea mazingira ya kufanya udhalimu huu na pia kuubariki na kuutukuza.

Nadhani ni sisi wananchi ndio tulio katika comfort zone kiasi cha kuwa complacent and staggeringly passive katika affairs za nchi yetu. CCM wakisimamisha mbuzi au hata mfugo wowte ule katika jimbo lolote au hata nafasi ya urais, watashinda tu na si kwa sababu ya CCM bali ni kwa sababu ya kura za mamilioni miongoni mwetu.

Ukitaka kujua ujuha wa waTanzania, angalia kile kitabu cha ilani ya uchaguzi ya CCM cha mwaka 2005. Ni mavitu mavitu yanayosemewa juu juu tu.Ooh tutaimarisha sera ya kilimo, ooh tutawatengenezea vijana mazingira ya ajira, ooh tutaboresha miundo mbinu, elimu na afya, n.k. Ni maneno matupu hakuna hata namba za kuelezea hali halisi kwa sasa, malengo au jinsi ya kufanyia kazi maneno hayo.

Dawa ya jino......
 
The one and only one thing ambayo imenifanya nifikirie sana for the last 20 - 30 hrs ni kwamba hiki ni chama cha namna gani ambacho hakiogopi wapiga kura?????????

At least I understand one of the most basic and important value to any political party is NEVER EVER INSULT THE VOTERS. Hii inaonekana haiko applicable kwa CCM, they can insult, they can mock and they can abuse the voters and yet be very confident.

In short hawa jamaa wamekuwa so arrogant! They fear no body except money, They respect no body except the rich and love no body except themselves.
Mkuu Nyambala, ni kweli kabisa CCM haiogopi wala haijali wapiga kura wake wanasema nini. Wanaamini kuwa, wanao uwezo mkubwa wa kuwahadaa wapiga kura na kuwafanya wawape kura zote wanazohitaji ili kupata ushindi.

Ni dhahiri kuwa, mkakati wa sasa ya CCM ni kuhakikisha wale wote waliojizolea umaarufu kwa kujitangaza kupambana na ufisadi wanabaki katika chama ili waongeze wingi wa viti Bungeni. Wanajua pia, kwa vyovyote iwavyo ni lazima mgombea wao wa uRais ashinde uchaguzi. Hii ni kwa kutumia mbinu yoyote iwayo. Uzoefu wa Kenya na Zimbabwe ni dalili tu kuwa hilo linawezekana.

Wakuu, siamini kuwa ili kuiangusha CCM ni lazima uwe mwanachama wa upinzani. Kama ambavyo siamini kuwa ili uokoke lazima ujiunge na kundi la walokole. Kinachotakiwa ni kuwa na imani kuwa mgombea fulani anakufaa na ukampa kura yako (hata kama ni wa upinzani). Muda umefika wa kufanya maamuzi magumu kuitetea nchi na ikibidi kusaliti chama. Sina haja ya kujiunga na chama chochote cha upinzani ili nikipe kura yangu. Naweza kukipa chama chochote kura kwa kuwa tu, kimeweka mgombea bora zaidi ya wengine wote. Muda huo ndio sasa.

Ni dhahiri kuwa CCM haina hoja ya kuiwezesha kushinda mwaka huu. Ila wanao uwezo wa kulazimisha ushindi. Hata kwa kutishia wagombea na kununua viongozi wa upinzani ili kupunguza nguvu kutoka kwao.

Vyama vya upinzani vinatakiwa kuwa na mkakati wa kutafuta kura, kwa heshima bila matusi, kejeli wala vijembe. Vijembe na kejeli ni njia za CCM kutafuta kura (inao washabiki wengi wa kejeli na vijembe hivyo). Upinzani ukiiga mbinu hiyo, itaendelea kushindwa kwa kuwa wanaotaka kuujaribu upinzani wako more serious kabla ya kufanya uamuzi huo.

Ndani ya CCM kuna wanachama wengi sana na ambao wamechoshwa na jinsi chama na serikali inavyofanya mambo yao. Wana imani na wapinzani wachache kuwa wako makini na wanaweza kuongoza nchi. Tatizo ni kama wapinzani hao wako tayari kushirikiana na wananchi wote na hasa wale walio ndani ya CCM kupata ushindi.

CCM ina wanachama wengi kuliko vyama vyote kwa pamoja. Ushindi wa upinzani ni lazima uzingatie pia support ya wanaCCM ambao wako tayari kwa mabadiliko na wamechoka tabia za chama chao bali hawako tayari kukihama kwasababu moja au nyingine. Sababu za kutokuwa tayari kuhama ni zao binafsi.
 
Mabadiliko ya kweli yataanzia Zanzibar, tuwaunge mkono CUF kule uende tukaadhiri waliolala bara miaka kumi ijayo ni mtazamo tu!
 
Safari yetu kama Taifa ni ndefu sana , ila kuna njia ya mkato watakaokubali kuipita hiyo wataweza kufika mapema na salama , ila tukiamua kuendelea na njia tunayoitumia tutaumia sana njiani na sio wote wataweza kufika kwani wanaweza hata kufa njiani kwa sababu ya njaa, kiu, magonjwa n.k.

Suala ni sisi kuamua sasa...now.....
 
Back
Top Bottom