Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,201
Hili taifa ni moja ya mataifa duniani yenye complex securty system. Kiasi huwezi mjuwa kiurahisi nani ni nani.

Ni taifa pekee ninavyo amini hata Wazungu walipatwa na shock vile tunafanya kazi.

Ndio maana kuna mahali ktk mtandao au kitabu jamaa waliambiana wasituamini sana.
Kenya ni heaven ya majasusi wa magharibi na wana wapenda sisi tuna sera tata inaitwa nchi isiyo fungamana na upande wowote. Do we know the meaning?

Hili taifa bwana acha tu acha nifunge mdomo kama akina mzee Pinda ila hili taifa hapana hapana. Nakumbuka nikiwa na mzee wangu tuliwahi ingia ofisi nyeti mahali fulan ila huwez amin mahali pale ukiingia nimahal pakula raha ila watu wapo kazin sijuw why baba alinipeleka pale.

Embu tafakari yule RC alimtisha mpaka waziri fulani ila Zito kamjibu tena kibabe na mpaka sasa hajakamatwa Wala hatokamatwa hiyo ndio nchi inatisha Tz.

Jasusi wa Ruangwa alipo toka hojiwa na chama. Alijuwa atafukuzwa ila akasema anaenda kupata chakula kitamu na mke wake kwenye hotel fulani... Halafu wakalifukuza chama wala halijajibu chochote. Hii Tz inatisha sana.

Umewahi tafakuri mtu anafokewa anatukanwa halafu anaitikia ndio mkuu? Basi ndio Tz. Watu anakuitikia kila kitu hata ukiwaambia wakatafute machozi ya samaki wataenda tafuta Nakurudi kusema bado mkuu tunayatafuta na tunakaribia kuyapata.

Unaweza shangaa yule mkuu wa wilaya alitoa maoni yake hivi majuz ni boss wa yule mwenye mkoa na anajuwa au hajuwi. Tanzania acha tu muheshimu hata mfagiz au muokota taka. Tanzania shikamoo.
Tupo salama lakini. Pia mh Mabeho amepeleka majeshi mpakani Nsumbiji...

Kijana wa mkoa fulani alie tikisa taifa nakuwafanya wazee kujiona kama mapanzi kupitia vitengo vyao wameuwona mwisho kabla hajauwona nani alimshauri na kwa minajili gani subiri uwone nguvu ya idara zetu nyeti
 
we jamaa

ila mi huwa nacheka sana watu kujifanya wanajua sana TISS

Ngoja ninyamaze...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama TISS ingekuwa inajulikana kama ambavyo watu ujifanya wanaijua humu basi isingekuwa ni taasisi imara same applied to freemasons, kama ingekuwa vile watu wanavyojifanya wanaijua basi isingekuwa na nguvu hadi siri zake zinavuja
 
Back
Top Bottom