Taifa la Israel halina uhalali wa kumiliki Gaza

Kwa hapo kisasi kimeizidi akili, akili haitumiki kabisa. Wayahudi wameweka mitambo ya kugundua kwamba Kuna makombora yanakuja. Ving'ora hulia na watu wote hujificha. Makombora yakifika yataharibu miundo mbinu michache na kuuwa wachache wasiojikinga. Lakini hapo wayahudi wanapata sababu ya kushambulia maeneo ya wapalestina indiscriminately na bila huruma. Baya zaidi hakuna anayeweza kuinuka kwenda kuwapa msaada wapalestina kimapambano. Ni vikao viwili vitatu halafu maisha yanaendelea. Huku Palestinians wanapotezwa. Ushauri ni kuacha kuwachokoza wayahudi. Wapalestina watafute maisha mengine tu.

Wewe jamaa unaongea kitu gani!! Nani kamchokoza mwezie apo? Watu wamevamiwa kwenye ibada wewe unasema amechokozwa!!! Hata kama sio wa imani yako lakini jaribu kuwa mkweli.

Alafu unasema watafute maisha mengine, waendr wapi wakati ardhi ni yao. Israel ni wavamizi na hawapaswi kutetewa kwa hali yoyote ile. Endeleeni kuwatetea tu.
 
Ndugu unachanganya mada.Daud na Suleyman hawakuwa waisrael.Na miaka unayosemea wewe waisrael walikua wakiishi Shyam Wala hawakuwa wakiishi wanapopaita Israel sasa umekosea.
Sulayman na Daud ni asili ya kiarabu asilimia mia.
Kingine mie nazungumzia taifa.
Narudia Israel hawakuwahi kuwa na taifa walikua jamii ya wahamaji ndugu.
Ndio maana kuanzia miaka ya 1948 walianza kuanzisha taifa kinguvu wakitokea Europe wakianzia Misri wakivamia sinai na Golan heights.
Na waliazia hapo kwasababu majiran wa kihistoria wa wanaisrael ni wamisri .
Daud na Suleyman hawakuwa waisrael hata majina yana asili ya kiarabu kabisa.
Motive yangu ni kuzungumza taifa la Israel kuwa si taifa halali kabisa.
Ardhi wanayomiliki Israel kihalali ni ya wapalestina.
Nadhani umenielewa.
Na ndio maana Israel kuna mvuto wa wanaisrael asilia na wanaisrael walochanganyika na uzungu ambao wanajiita wazayuni kwasababu ya Zionism supportive movement.
Je Israel inauhalali wa kumiliki hiyo ardhi ya sasa??
Naomba jibu.
Pia Netanyau unayemtaja hakuhusika na Entebe raid
 
Wewe jamaa unaongea kitu gani!! Nani kamchokoza mwezie apo? Watu wamevamiwa kwenye ibada wewe unasema amechokozwa!!! Hata kama sio wa imani yako lakini jaribu kuwa mkweli.

Alafu unasema watafute maisha mengine, waendr wapi wakati ardhi ni yao. Israel ni wavamizi na hawapaswi kutetewa kwa hali yoyote ile. Endeleeni kuwatetea tu.
Doh! Poleni Sana. Sikujua
 
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.

Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je Taifa la Israel lilitawaliwa na nani?

Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel.

USA inalazimisha illegal westbank settlements zilizojengwa na Israel kwa uvamizi ziwe legalized ilhali yale maeneo waisrael wamevamia.
Chapweni chapweni hati mkimbie makosi yenu
 
Mipaka ya zamani eti wanapigania, hivi ni akili hizo. Watetee pahali wako wa Palestina sio kutaka ardhi iliotwaliwa zamani. Watalia lia tu kila wakati!
 
Mkuu bora umeliona, japo tunatofautiana imani lakini umeonyesha utu na huruma kwa wapalestina. God bless you BAK!

Hii nyingine mtoto akimkimbilia baba yake kumuwaga baada ya kuuawa kwake dhidi ya waisrael. Mkuu nimetokwa machozi kuona hii video, na wengi imewaliza. Lakini nashangaa humu wanafurahia dhulma na mauwaji yanayofanywa na israel.

Hii hapa👇🏼

Wapalestina 69 wameuawa👇🏼

Uwiiiii hii clip niliiona Instagram sikuelewa, jamani jamani kumbe ndo hivi sababu ya vita?? 😥😥 Akiii roho imeniuma!
 
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.

Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je Taifa la Israel lilitawaliwa na nani?

Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel.

USA inalazimisha illegal westbank settlements zilizojengwa na Israel kwa uvamizi ziwe legalized ilhali yale maeneo waisrael wamevamia.
FICHA UJINGA WAKO.....

Lipi taifa halali duniani ?!!!
 
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.

Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je Taifa la Israel lilitawaliwa na nani?

Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel.

USA inalazimisha illegal westbank settlements zilizojengwa na Israel kwa uvamizi ziwe legalized ilhali yale maeneo waisrael wamevamia.
UGOMVI WA PALESTINA NA ISRAEL NI WA MAPACHA WAWILI TOKA WAKIWA TUMBONI KABLA YA KUZALIWA.
Nini sababu ya ugomvi ? Siyo tatizo la kugombania ardhi wala kugombania mji wa Yerusalem kunakosababisha ugomvi kati ya mataifa haya mawili ni kwamba kila taifa halitaki kutambulika kwa taifa jingine kama taifa huru.
Hii inamaanisha kwamba hata kama taifa la Palestina litahamia katika bara jingine au Israel kuhamia bara jingine bado ugomvi na vita ingeendelea kati ya mataifa haya mawili ,ugomvi kati ya mataifa haya unakwenda mbali zaidi tangu watoto wawili mapacha wakiwa tumboni kabla ya kuzaliwa.
Katika kitabu cha (Mwanzo 25:22) inasomeka;"Bwana akamwambia ,Mataifa mawili yamo tumboni mwako ,Na Kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako, Kabila moja litakuwa hodari Kuliko la pili na mkubwa atamtumikia mdogo."
Alizaliwa kwanza Esau ambaye baadae aliitwa Edom kisha akafuatia Yakobo ambaye baadae aliitwa Israel. Wakati Edom ni taifa la Palestina, Israel ni taifa la Israeli, hakuna ubishi kwamba Israel ni hodari zaidi ya Palestina.
Miaka ya 50 iliyopita, yaani mwaka 1967 ,kulitokea vita kati ya Israel na mataifa jirani zake, Vita hii ilipiganwa kwa siku 6 tu(Juni 5---Juni 10,1967) lakini madhara yake yapo mpaka leo ,ilikuwa ni miaka michache kupita baada ya wa--NAZI wa Hitler,kuwaua wayahudi milioni 6 ,ndoto ya kuanzishwa kwa Taifa la Israeli kama ilivyotabiriwa kwenye biblia ilitimia.
Mwishoni mwa mwaka 1948 ikiwa ni miaka 3 tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia ,Mataifa ya kiarabu majirani mwa Israel yaliivamia Israel yakijaribu kuliangamiza Taifa changa ambalo muda mfupi tu lilikuwa limetangazwa na Umoja wa Mataifa kuwa Taifa huru, lakini hayakufanikiwa.
Jeshi la misri lilipigwa lakini askari waliokuwa kwenye eneo dogo linalojulikana kama Falluja walikataa kusalimu amri ,kundi la askari wa Misri na Israeli walipambana vikali ,Miongoni mwa askari Vijana waliokuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel alikuwa ni Yitzhak Rabin ambaye alikuwa na umri wa miaka 26 wakati huo, Pamoja na Meja Gamal Abdel Nasser wa jeshi la Misri aliyekuwa na miaka 30.
Wapalestina wanauita mwaka 1948 kuwa ni "al--Nakba" yaani 'Janga' .Zaidi ya wapalestina 750,000 walifukuzwa kutoka kwenye eneo ambalo sasa linajulikana kama Taifa la Israel na hawakuruhusiwa kurudi tena mahali hapo.
Mataifa ya Misri, Jordani, na Syria yaliungana pamoja kuishambulia Israel ambayo hata hivyo ndiyo kwanza ilikuwa imepewa hadhi ya kuwa taifa huru. Lakini kwasababu Mungu alikuwa amesema kwamba "Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili" ni wazi kuwa Israel ,likiwa taifa changa ,bado lilifanikiwa kuwashinda majirani zake tena ndani ya siku 6 tu.
Ingawa vita kati ya Israel na Palestina ilianzia tumboni ,lakini vita nyingi hutengenezwa na wajenzi huru kwa faida yao, Februari 17 mwaka 1950 James Paul Warburg mwenye asili ya kiyahudi alihutubia Baraza la Senate la Marekani na kusema " Government creates a crisis for which the public demands a solution.
That solution instigates the changes that the government initially wanted but which the people would have been unwilling to accept.
It is order out of chaos !!! Worldwide chaos will lead to worldwide solutions which will establish the one world order " yaani; Serikali hutengeneza migogoro ambayo umma hutaka pawepo na suruhisho.
Suruhisho hilo hulazimisha mabadiliko ambayo awali Serikali iliyataka lakini umma ulikuwa hauyataki, ni utaratibu unaopatikana Kutokana na machafuko !! Machafuko ya kidunia yataleta suruhisho la kidunia ambalo litaanzisha utaratibu mmoja wa ulimwengu.
Katika hotuba yake inayojulikana kama "Urbi et Orbi ", Papa Francis alisema ;" Pepo za vita zinavuma katika ulimwengu wetu na maendeleo yanaendelea kusababisha mmomonyoko wa maadili na uharibifu wa mazingira " Urbi et Orbi ni maneno yanayomaanisha " To the city and to the world" yaani " kwenda kwa mji na kwenda kwa ulimwengu" kumaanisha kwamba hotuba za Papa Francis zinakwenda kwa wakazi wa mji wa Vatican city na wakazi wa ulimwenguni kote.
Tishio la silaha za nyuklia kutoka Korea kaskazini ,mgogoro wa peninsula ya Korea pamoja na mgogoro wa mji wa Yerusalem baada ya Rais Trump kutangaza kuwa Yerusalem ni mji Mkuu wa Israel na tangazo hilo kupingwa na Umoja wa Mataifa, ni pepo zinazoonyesha dalili ya kufumka kwa vita duniani kote.
Katika hotuba hiyo papa Francis alipendekeza kutambuliwa kwa mataifa mawili yaani Israel na Palestina, kama suruhisho la mgogoro wa Mashariki ya kati pamoja na kutatua mgogoro wa Korea kaskazini kwa njia ya kidiplomasia.
Itakumbukwa kwamba, Mwanasayansi mashuhuri aliyejulikana kama Albert Einstein alitoa tafsiri ya neno " Insanity" yaani " kuchanganyikiwa au uwendawazimu " akisema ;"wakati mtu anapojaribu kutumia kanuni ya zamani ambayo ilishindwa kwa wakati na wakati mwingine tena, akiamini kwamba ,kwa vyovyote atapata matokeo tofauti mtu huyo amechanganyikiwa au ana uwendawazimu.
Israel, Palestina, Marekani na Umoja wa Mataifa kwa zaidi ya miaka 50 wamekuwa wakijadili uwezekano wa kuleta suluhu kwa kuifanya Palestina kuwa Taifa huru pamoja na Israeli. Hata hivyo ,wapalestina wamekuwa wakijiondoa kwenye suruhisho hilo kwa sababu mpango huo unaifanya Israel iendelee kuwa Taifa huru ,wapalestina wamekuwa wakipinga wazo kwamba Israel ina haki ya kuwepo na kuishi kama Taifa.
Lengo ni kuwafutilia mbali wayahudi wote, jambo ambalo hata Adolf Hitler alikuwa nalo lakini hakuweza ,kwa mujibu wa Mwanasayansi Albert Einstein " suruhisho la mataifa mawili ( two state solution) limeshindwa kufanya kazi na wale wanaoendelea kupendekeza suruhisho hilo, ama wamechanganyikiwa na ni wendawazimu au wanafanya kwa makusudi wakiwa wanafahamu matokeo yake.
Raia wa mataifa yote mawili wanamtambua Ibrahimu kama Baba wa Mataifa yao, Ibrahimu aliishi miaka 4000 iliyopita akisafiri Kwenye eneo la Taifa linalojulikana leo kama Iraqi, na akafika Kwenye eneo la taifa linalojulikana leo kama Israeli.
Ibrahimu aliahidiwa na Mungu Kwamba atapata mtoto Katika uzee wake .Akiwa amesubiri utimilifu wa ahadi hii kwa muda mrefu bila kupata mtoto ,alimchukua kijakazi wake na akafanikiwa kuzaa naye mtoto aliyeitwa ishmail. Lakini mungu hakuwa amepanga kumpatia Ibrahim mtoto kwa njia hiyo, bado aliendelea kumhakikishia kwamba atapata mtoto kupitia kwa mkewe. Kwa sababu alikuwa na imani ,alifanikiwa kumpata mtoto aliyepewa jina la Isaka.
Kisha Mungu akamuagiza kwenda kwenye mlima Moria, ili akamtoe kafara mtoto wake Isaka ambaye alikuwa amemsubiri Kwa muda mrefu. Huu mlima Moria upo wapi? Ingawa wakati wa siku za Ibrahimu ,miaka 2000KK ,eneo kubwa lilikuwa jangwa ,miaka 1000KK baadae Mfalme Daudi alijenga mji wa Yerusalem katika eneo hilo na mtoto wake aliyejulikana kama Mfalme Sulemani alijenga hekalu la kwanza kwenye eneo hilo la mlima Moria .
Imeandikwa " ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya bwana huko Yerusalem ,juu ya mlima Moria ..." (2 Nyakati 3:1). Lakini kwa Ibrahimu Mungu anamwambia : " umchukue mwanao ,mwana wako wa pekee, umpendaye ,Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka, ..." ( Mzo. 22:2) Hivyo basi mji wa Yerusalem anajulikana kama nchi ya Moria au mlima wa Moria au mji wa Daudi mahali palepale alipoambiwa nabii Ibrahimu kwenda kutoa kafara ,ndipo Hapo hapo Mfalme Sulemani alipojenga hekalu la kumuabudia Mungu na kumtolea kafara za wanyama.
Lakini zaidi ni katika mji wa Yerusalem ndipo yesu aliposulubiwa msalabani na hapo ndipo lilipo chimbuko la dini ya ukristo iliyoanzishwa kwa ujumla uzao wa Ibrahimu ndio chimbuko la dini kubwa tatu ,yaani uyahudi, uislamu ,na ukristo.
Dini zingine zote zimetokana na dini hizi tatu ,Kutokana na ukweli huu ,wajenzi huru wamefanikiwa kuwashawishi viongozi wa dini zote na kuziunganisha kuwa dini moja. Ingawa majina ya dini hizi yanaendelea kutumika kiasi cha kuonekana kwamba hakuna tofauti ,lakini matunda ya dini hizi yanaonyesha wazi kuwa yanatokea kwenye mti mmoja.
Katika mambo ya kiroho jina la dini ya mtu au dhehebu lake haliwezi kumfanya muumini afike mbinguni bali kitu muhimu ni matunda ya dini hiyo au dhehebu hilo. Kwa kujua hili mwanzilishi wa illuminati Dkt Adam Weishaupt aliandika akisema , The great strength of our order lies in its concealment " yaani nguvu kubwa ya Utaratibu wetu Iko katika kuficha na kufanya kazi zetu kwa siri kubwa " Hata huu muunganiko wa dini umefanywa kwa siri kubwa kiasi kwamba waumini wengi hawajui kinachoendelea.
Weishaupt akaendelea kusema, " let it never appear in any place in its own name, but always covered by another name and another occupation " yaani; " hebu isionekane mahali popote kwa jina lake, lakini daima ifanyike kwa jina lingine na kwa namna nyingine." ( Robin's Proofs of a Conspiracy, P. 195).
May be an image of 1 person

516516
108 Comments
245 Shares

Like

Comment

Share

[COLOR=var(--primary-text)]UGOMVI WA PALESTINA NA ISRAEL NI WA MAPACHA WAWILI TOKA WAKIWA TUMBONI KABLA YA KUZALIWA.

[/COLOR]

May be an image of 1 person

[COLOR=var(--secondary-text)]
516516
[COLOR=var(--secondary-text)]108 Comments

[COLOR=var(--secondary-text)]245 Shares[/COLOR]
[/COLOR]
[COLOR=var(--secondary-text)]Like
Comment
Share
[/COLOR]
[/COLOR]
 
Na wanao sema pale si kwao, unawaambia nini?.
Well...Historia inasema hilo eneo lilikuwa likitawaliwa na Mafarao wa Misri ya Kale likavamiwa na Wahititi na Wasiria ndipo kukombolewa tena na Mafarao wa Kikushi waliotokea Merowe Sudan ya leo

Ukija kwenye Torah na Qurani zote zinasema Jerusalem ni ya Waisraeli
 
Well...Historia inasema hilo eneo lilikuwa likitawaliwa na Mafarao wa Misri ya Kale likavamiwa na Wahititi na Wasiria ndipo kukombolewa tena na Mafarao wa Kikushi waliotoke Merowe Sudan ya leo

Ukija kwenye Torah na Qurani zote zinasema Jerusalem ni ya Waisraeli
Najua wewe ni muislam, kwanini ukweli huu mchungu usiwasaidie kuwaambia ndugu zako katika imani kuwa pale ni kwa Myahudi inabidi Wakae na na kila mmoja akubaliane uwepo wa mwenzie.

Ushahidi wa kihistoria, akrojia na kidini zote unakiri jambo ili kuwa Israel kingdom imekuwepo hapo kitambo vipi wao wapinge shaidi hizo zote?.

Ukweli usemwe tu japo ni mchungu na mwenye haki apewe hata kama ni shetani..

Naomba waislamu wawapuuze makafiri,wakusilikize wewe muislam mwenzao.
 
Najua wewe ni muislam, kwanini ukweli huu mchungu usiwasaidie kuwaambia ndugu zako katika imani kuwa pale ni kwa Myahudi inabidi Wakae na na kila mmoja akubaliane uwepo wa mwenzie.
Waisilamu wenzangu huwa nawaambia sana ukweli wa hiyo Ardhi kuna wanaonielewa kuna wengine wananiita majina,lakini ninaamini kuwa iko siku Allah atafanya wepesi ili watu waache kugombana haya ni mambo ya kukaa chini na kueleweshana

Inshaalah itakuwa kheri
 
Haya bhana.. Shida ya ndugu zako katika imani wengi wao reasoning yao ipo chini sana.

Watakuja sema umenunuliwa na makafiri kutetea dhuluma.
 
Kuna Imani na Kuarabishana (Arabization) ndicho kilchoikuta Israel na hata sisi Tanzania na Afrika kwa ujumla

Kuna kipindi hata jina la Jiji la Jerusalem lilibakia kwenye Bibliia Waarabu walilita Al Aqsa Mji wa Hebron uliitwa Alkhalil sasa hiyo Nchi ilikuwa ifutike kwa sababu ya Arabization

Sisi waisilamu wa Afrika tunatakiwa tupige Stop Arabization ili tubakie na Imani pure ya Kiisilamu

Leo unakuta Watoto wadogo wamevalishwa Hijabu hiyo ni mila ya Kiarabu sio Dini kuna ushahidi wa kihistoria unasema Mabedui wa Uarabuni walikuwa wakiwavalisha Wasichana na Wanawake wao Hijabu ya Usoni na Mwili mzima kabla ya Uisilamu.
 
Una elimu pana sana ya mambo aisee..
Nikajua upo vizuri katika siasa tu, kumbe una vitu vingi tu nje na siasa ila upendi ligi tu.

Back
Top Bottom