TAHLISO wafukuzwa Bugando kufanya uchaguzi mkuu

cbandiho

Member
Sep 2, 2012
67
47
Viongozi wa vyuo vikuu Tanzania,wanaoendelea na kikao Bugando Mwanza wamepewa amri ya kuondoka kutokana na hali ya kiusalama.

Agizo limetoka mkoan,hali si shwari,upo uwezekano uchaguzi usifanyike leo.

Mimi n vice presdent DIT,nipo katika kikao.
 
Tahliso ilishakufa siku nyingi sana, Wawa Steven, SIlinde, Machibya walishauzika rasmi huo umoja wa CCM, chama cha wanafunzi kinachotetea maslahi ya serikali hakitakiwi, namkumbuka sana raisi wangu wa UDSM 2008/2009.
 
Viongozi wa vyuo vikuu Tanzania,wanaoendelea na kikao Bugando Mwanza wamepewa amri ya kuondoka kutokana na hali ya kiusalama.

Agizo limetoka mkoan,hali si shwari,upo uwezekano uchaguzi usifanyike leo.

Mimi n vice presdent DIT,nipo katika kikao.

Tatizo ni nini au mbowe alienda kuusimamia akashtukiwa na wadaku
 
Ondokeni hapo nendeni mkasome, siasa hamuiwezi

umenena wazazi wanawatuma chuo kusoma wao wanaenda kufanya siasa!!,ukidakwa shati na sup unaanza kulalamika,sasa kama huyo sahv yuko mwanza wenzake wanapga shule,kisa anapenda siasa
 
Mwenyekiti wake ni Chekushamire wa Mzumbe University. CCM pure!

CDM mnachekesha kweli,ikitokea kashinda mtu wenu mnakuja na uzi wa kujipongeza na mkiwaita wanachuo ni wazalendo ikitokea vinginevyo povu linawatoka.
 
Ondokeni hapo nendeni mkasome, siasa hamuiwezi
Ni kweli inabidi waondoke tu kwa amani maana tofauti na hapo kitakachofuata ni serikali dhalimu ya CCM kuwarushia mabomu!!!

1013165_548810871844995_387610025_n.jpg
 
Back
Top Bottom