Tahliso na uzinduzi wa wa website tahliso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahliso na uzinduzi wa wa website tahliso

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Juma Hamis, Apr 21, 2012.

 1. J

  Juma Hamis Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko hapa Dodoma,nasubiria serikali ya magamba ielekee ICU,
  Lakini,namuona Mh.Membe,Nasari,Magreti Sitta,Chemba,Mwakyembe,wakiongea na viongozi wa serikali za wanafunzi wa elimu ya juu.

  source,mimi mwenyewe!
   
 2. M

  MSANGU New Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyie tahliso lakini mwafanya kazi yenu vizuri????? cause mkopo saizi uanaanza kuwa hadithi ya bunuasi......... ebu kuweni wamoja msikubali hili jambo likawa implemented............
   
 3. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  Viongozi wa tahliso ni wakuda kwani hawajali maslahi yetu wenyewe wakishapata pesa zao za posho basi wanatusahau
   
 4. P

  Paul Makonda Verified User

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama kunajambo ambalo unafikiri tunaweza kukusaidia we sema.
   
Loading...