Tahliso dodoma moto

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Nipo ktk kikao cha TAHLISO hapa chuo cha MIPANGO DODOMA. Sasa tunapiga kura kumfukuza katibu ndugu Katongo.
 
Nipo ktk kikao cha TAHLISO hapa chuo cha MIPANGO DODOMA. Sasa tunapiga kura kumfukuza katibu ndugu Katongo.

Katongo si ndio mwenyekiti? au mimi ndo kumbukumbu zangu haziko sawa.

btw: ni kuhusu ule mkorogano wa katibu na mwenyekiti kuhusu uchaguzi mkuu 2010?
 
Tahiliso hamna kitu kwani chanzo cha kufa kwa TAHILISO ni nini? We hujui kama mpaka sasa kuna TAHILISO na UVEJUTA? Ilikufa sababu ya serikali kuwapachika watu wa TISS au UWT wagombee uongozi mwaka 2008 wakati vyuo vyote kutoa tamko kuwa vinataka kugoma kupitia TAHILISO kwa kushinikiza madai yao yafanyiwe kazi.So far mimi naona TAHILISO hamna kitu kumejaa vibaraka tu yaani mtafukuza wengi sana.
 
hebu wenye ufahamu wa hili mtujuze kabla hatujaanza kuchangia hapa pls
 
Ndo tunapiga kura za kumfukuza katibu mkuu wa tahliso hapa chuo cha mipango dodoma. Ntawajuza amemfukuzwa kwa kura ngapi.
 
nyie tahiliso msio na msimamo mimi hata sitaki kuwasikia
Mmi ninavyojua TAHILISO kumejaa UWT ndo maana baadhi ya vyuo vilijitoa kipindi kile kikiwemo UDSM sasa usitegemee kwamba watakuwa na msimamo hapo.
 
Mmi ninavyojua TAHILISO kumejaa UWT ndo maana baadhi ya vyuo vilijitoa kipindi kile kikiwemo UDSM sasa usitegemee kwamba watakuwa na msimamo hapo.

hivi kumbe hawa ndio waliitwa wasomi wa dodoma? it's a joke!

nafikiri ni kuli-abuse neno 'wasomi'!
 
Hicho ni chama gani nakumbuka wakati tupo chuo tulimtoa raisi wa selikali ya wanafunzi kushiliki na hao watu! Tulianzisha movement wenyewe wakaenda kuomba msamaha hao mapapeti tuu hawana lolote1
 
TAHLISO, ilishakufa siku nyingi wakati mimi nafukuzana na degree ya kwanza pale ubungo. Walijaaa wanafiki, waganga njaa, waoga na hatimaye UWT wakachukua nafasi. Sasa limebaki jina, hata nguvu hawana. Let them go to hell!
 
Mmi ninavyojua TAHILISO kumejaa UWT ndo maana baadhi ya vyuo vilijitoa kipindi kile kikiwemo UDSM sasa usitegemee kwamba watakuwa na msimamo hapo.

ndio UDSM tulijitoa kwa sababu TAHILISO ilipanga mgomo wa vyuo vikuu vya umma vyote then wakatusaliti so tukagoma pekeyetu, by that reason tukaona hamna haja ya kua kwenye kitu ambacho hakijielewi wala hakina msimamo
 
Katongo si ndio mwenyekiti? au mimi ndo kumbukumbu zangu haziko sawa.

btw: ni kuhusu ule mkorogano wa katibu na mwenyekiti kuhusu uchaguzi mkuu 2010?
Sorry kwa kuchanganya jina. Upo sahihi katibu anaitwa Prosper Ngoro.
 
Ndo tumemaliza kuvote. Kura za kukubali kumuondoa 26, asiondoke 2, zimeharibika 4, na mjumbe kutoka zanzibar university hajapiga kura kwa sababu mtunya feha kakimbia na muhuri.
 
ndo tumemaliza kuvote. Kura za kukubali kumuondoa 26, asiondoke 2, zimeharibika 4, na mjumbe kutoka zanzibar university hajapiga kura kwa sababu mtunya feha kakimbia na muhuri.
matokeo sijayaelewa!
 
Nijuavyo mimi TAHLISO ilkuwa jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vyote vya elimu ya juu, ila baada ya kutofautiana kimtazamo wanachama wa kutoka vyuo vikuu vya umma (waliotaka nyongeza ya fedha ktk mkopo) walijitoa na TAHLISO ilibaki na wanachama wa kutoka vyuo visivyo vya umma (waliokuwa wanaridhika na walau fedha chache zinazotolewa na serikali kwani wao walijiona hawastahili hata hicho kidogo). sasa kama wanafukuzana ni heri, kwani dhambi ya utengano inaendelea kuwaandama.
 
Ndo tumemaliza kuvote. Kura za kukubali kumuondoa 26, asiondoke 2, zimeharibika 4, na mjumbe kutoka zanzibar university hajapiga kura kwa sababu mtunya feha kakimbia na muhuri.

Hivi hii nchi ina laana gani?, yaani wanaojiita wasomi KURA 4 ZINAHARIBIKA? sasa wasio na upeo kabisa
 
Tahiliso hamna kitu kwani chanzo cha kufa kwa TAHILISO ni nini? We hujui kama mpaka sasa kuna TAHILISO na UVEJUTA? Ilikufa sababu ya serikali kuwapachika watu wa TISS au UWT wagombee uongozi mwaka 2008 wakati vyuo vyote kutoa tamko kuwa vinataka kugoma kupitia TAHILISO kwa kushinikiza madai yao yafanyiwe kazi.So far mimi naona TAHILISO hamna kitu kumejaa vibaraka tu yaani mtafukuza wengi sana.

kweli tupu.ujinga wa hawa wanavyuo ni nkubwa.tahliso wote ni wasaliti waache kutafuta legality.nadhani kuna na chuo cha kata cha DUCE kinafanana na shule ya sekondari.acheni uongo tahliso ni vibaraka
 
Back
Top Bottom