Tahliso dodoma moto

Acheni unafiki na kujikomba kwa wananchi.nyinyi ni irrelevant.vunjeni hiyo chama cha mapinduzi mkoa wa vyuo vikuu.sasa kwa kuwa wanavyuo wamesharudi,itisha maandamano vyuo vyote kwenda tume ya uchaguzi kulaani ilichofanya.mnaweza hilo au mnataka cheap popularity?
 
Mi nilifikiri mtaanza kumfukuza yule aliyetoa tamko la kupinga kitendo cha chadema kususia hotuba ya rais.
Kumwachia yule ni sawa na chuo kizima kukubaliana naye.
 
ndio UDSM tulijitoa kwa sababu TAHILISO ilipanga mgomo wa vyuo vikuu vya umma vyote then wakatusaliti so tukagoma pekeyetu, by that reason tukaona hamna haja ya kua kwenye kitu ambacho hakijielewi wala hakina msimamo

that's what i mean
 
Mi nilifikiri mtaanza kumfukuza yule aliyetoa tamko la kupinga kitendo cha chadema kususia hotuba ya rais.
Kumwachia yule ni sawa na chuo kizima kukubaliana naye.

Hapo kwenye bold mkubwa yule jamaa Mwesigwa hakua msemaji wa tahliso bali ni waziri tu katika serikali ya wale jamaa wa Chuo Kikuu cha kata (UDOM) na atashuhulikiwa na uongozi wa huko
 
Back
Top Bottom