Taharuki Mbagala, wafanyakazi wa mwendokasi wakigoma

Eti tumewakama kwa kugoma kufanya kazi😂😂😂😂 hivi Kama police mkubwa kabisa anaongea hivi vipi wale wadogo..
 
Mh Waziri

Haya tinayoyaona magazetini hayakuwepo huko nyuma.Na ukweli tunaomba kama ukiwa katibu ulishugulika vizuri sana

Na miradi ya mwendokasi

Leo kama waziri kabisa tunaomba msaada hawa watu wasaidiwe wasifike wakaanza kuhisi mengineyooo mbona huko nyuma.Walilipwa kama. Kawaida leo hii kuna nini

Tukumbuke hawa watu wana familia zinawategemea tusiwachukulie tu kirahisi wapendwa watoto wao wanahitaji kwenda chooni tena wapate chookigumu wanahitaji kulipiwa ada kama watoto wengine

Binafsi nimewiwa kukuomba mh waziri wangu shugulikia hili swala.Magazeti yaleo kila sehemu mbagala mbagala kama wizara haipendezi

Mungu awatie nguvu

#Mwanakondoowamunguameshindatumfuate
 
Back
Top Bottom