Taharuki Mbagala, wafanyakazi wa mwendokasi wakigoma

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
1,837
2,000
Eti tumewakama kwa kugoma kufanya kazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hivi Kama police mkubwa kabisa anaongea hivi vipi wale wadogo..
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,132
2,000
Mh Waziri

Haya tinayoyaona magazetini hayakuwepo huko nyuma.Na ukweli tunaomba kama ukiwa katibu ulishugulika vizuri sana

Na miradi ya mwendokasi

Leo kama waziri kabisa tunaomba msaada hawa watu wasaidiwe wasifike wakaanza kuhisi mengineyooo mbona huko nyuma.Walilipwa kama. Kawaida leo hii kuna nini

Tukumbuke hawa watu wana familia zinawategemea tusiwachukulie tu kirahisi wapendwa watoto wao wanahitaji kwenda chooni tena wapate chookigumu wanahitaji kulipiwa ada kama watoto wengine

Binafsi nimewiwa kukuomba mh waziri wangu shugulikia hili swala.Magazeti yaleo kila sehemu mbagala mbagala kama wizara haipendezi

Mungu awatie nguvu

#Mwanakondoowamunguameshindatumfuate
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom