Taharuki iliyopo sasa vyuoni kuhusu HESLB

Hivi we Jamaa unaelewa kweli kinachozungumziwa hapa, yaan unaonekana Kama umefikia kucomment bila kusoma Uzi.
wewe ndiye hujaelewa nini kinaendelea baina yangu na huyo niliyemjibu, jaribu kuwa muelewa bas hata kidogo.
 
Mara huku TANESCO umeme kila baada ya dakika mbili unakata
Mkuu, huku Moro umeme umekata toka alfajiri ndo umerudi saa 4 hii.. Ndo nimepata chaji kidogo ya kuzama JF.. Hii nchi nikimaliza kitabu lazima nihame..
Haiwezekani umeme unakatika zaidi ya masaa 20 tena mjini ksma hapa je huko vijijini Chato ndanindani.!!!

kwani hakuna sababu ya kukatika umeme
 
Kwanza huu utaratibuu wa kugawa booms kwa makundimakundi umeanza lini, kwahyo wameonao wamafunzi wengine wanapesa sana mpka kuchelewesha pesa..?

Wapeni pesa zao bhna wanafunzi hizo mambo sio kabisa..
Alafu namshangaaga sana yule mkurugenzi anayeitwa Abdul, anakuwa kipaumbele sana kusema "Pesa zishatumwa vyuoni kabisa
 
Pesa za tozo siyo zilizotumika katika ujenzi wa madarasa. Halafu tukisema kauli zako ni za uchonganishi baina ya raisi na wananchi wake utakataa. Kuna watu hukosa mikopo kila mwaka hivyo wamejaribu kufikia kundi kubwa kwa namna hii.
Ujenzi wa madarasa sio pesa za tozo n msaada kutoka nje fatilia vizuri

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Siasa mbaya shida wanaleta kwenye elimu nilitoka kupost uzi humu inakuje boom limepunguzwa akati umbeambiwa utapewa kiasi kazaa
 
Wenyewe wanasema anaupiga mwingi kwani wanufaika mikopo mwakaa huu ni wengi kuliko wote waliopata awamu 5 yote yaani miaka 5 yote ye kaifunika kwa miezi sita tu wanufaika sijui 32 elfu wakati awamu ya 5 yote ilitoa kwa wanafunzi 29 elfu.

Shida inakuja anataka kuiga aonekana amefanya ya maana sana ila ndo hivo banah na usishangae mtoto wa Wasiri akaanza kupata mkopo tena na ukawa 100%.

Wanasema wenye nchi wameshika nchi yao sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wa vyuo watakuwa wameshaanza ile michezo yao ya kuzuia boom na kuliweka fixed deposit miezi mitatu
 
Kaka ujue inauma sana ushamwambia mzazi ada umelipiwa yote alafu unakutwa imefutwa hv unazani maisha yatakuwaje chuo
Bro hii issue ni kisanga UDOM huku kuna wana wameshaandika barua watembee home..Mwana kwenye overall allocation alikuwa na 100%..Now anakuta 0% tutition feees ndo aanze kulipa upya...Bado maelezo hayaridhishi kwa hili...Maana budget iliwekwa na tukaiona kwa ajili ya wanafunzi wa miaka endelevu (continous) now ndo ivo aaani ni shida........
 
We Jamaa unaongea Nini asee, chuo Cha kata ndo chuo gani?? MTU anaongea kwa experience afu unajibu pumba hata hapa UDOM-Coed Hali Ni hyohyo haya wewe uliepo chuo Cha mkoa kaa kimya Basi.
Bro UDOM ni yote ..njoo huku social na humanity...Ni kilio kuna wanangu washasusa na kuuendelea na usajili...wameamua kutembea kitaa...Na ninaeongea niko next coz mzazi mzigo hauwezi kabisaaaaaa....Bongo asee
 
Duuh me hata kwenye hiyo allocation bado sipo, hapa nshaongea na mzee kuwa naweza rudi home anytime. MTU huwezi kujilipia ada wakati Hilo suala ulikuwa huliwazii before HESLB nahisi wamepewa Uhuru Sana hawafuatiliwi kabisa wanafanya watakacho
Bro UDOM ni yote ..njoo huku social na humanity...Ni kilio kuna wanangu washasusa na kuuendelea na usajili...wameamua kutembea kitaa...Na ninaeongea niko next coz mzazi mzigo hauwezi kabisaaaaaa....Bongo asee
 
Pole sana mkuu

Wadau hebu niwaeleze kitu maana mwanzo nilikuwa sijapata info kamili..
Kiukweli kwenye account yangu ya HESLB ilikuwa inagoma kufunguka siku za nyuma ila leo hii imekubali na nimefanikiwa kuona allocations zangu za mwaka huu.

Sasa issue iko hv,allocation za mwaka huu wamezileta kama za mwaka Jana,, yaan first year kama ulipata ada 60% bac ipo hyohyo 60%. Ila uhalisia ni kwamba mwaka jana ziliwekwa allocations za miaka yote na ilikuwa inaonesha kila mwaka pesa inaongezeka..

Nasikitika kuwa bodi wàmeondoa hela zote muhimu kwa mwanafunzi kama BS, SFP, FTP.Kwahyo tutembee tu na allocation za mwaka Jana kama ulikuwa unaongezea laki 2 kwenye ada basi utaendelea kuongezea hvyohvyo.

Ila kuhusu boom bado ni changamoto mpaka leo hii wanafunzi wengi hatujapata boom, boom wanatoa kidogokidogo kama keki ya birthday vile.
 
semester itaisha wanafunzi nufaika na HELSB mko hoi sana, poleeeni
 
Bro UDOM ni yote ..njoo huku social na humanity...Ni kilio kuna wanangu washasusa na kuuendelea na usajili...wameamua kutembea kitaa...Na ninaeongea niko next coz mzazi mzigo hauwezi kabisaaaaaa....Bongo asee
Duuuuh poleeeeh sana,
 
Wakuu hapa ndio imetoka au dogo aendelee kusubiri maana alikuwa ame appeal
Screenshot_20211126-163812-1.jpg
 
Back
Top Bottom