Taharuki: Azuia mwili usizikwe akidai anaweza kumfufua, waingia kwenye kaburi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,818

msibaa-web-660x400.jpg

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika ameibuka katika kijiji cha Oldadai wilayani Arumeru mkoani Arusha kwenye mazishi ya kijana Hance Remmy,nakudai ana uwezo wa kumfufua marehemu nakupelekea kushuka kwenye kaburi akiwa na ndugu wa marehemu kwa zaidi ya saa tatu bila mafanikio.

Kwa mujibu wa majirani waliozungumza na Ayo tv wamedai kwamba mtu huyo alianza mikasa hiyo kanisani lakini baadaye wakati wakuzika alionekana tena nakuzuia mwili huo kuzikwa nakushuka chini ya kaburi akiwa na ndugu wa marehemu lakini alishindwa kufanya hivyo nakutoka kwenye kaburi hilo nakukimbia ambapo baada ya tukio hilo ndugu waliamua kumzika kijana huyo majira ya usiku

 
Kijijini kwetu aseee jamaa kaniabisha sana
Kwa nini wasi gemtafuta gwajiboy
 
Haya maisha haya hatari Sana. Mama wa kisulisuli, aliwahi restore misukule ya kutosha. Sijui iko wapi siku hizi ile misukule.

Haya Mambo haya Mungu atuepushe sana
 
Hii skendo ya kutengeneza kabisa. Yaani Milard ilikua a coincidence kwamba mazishi ya mwamba na yeye akawa mitaa hiyo hiyo?

Hawa CMG wasituamishe kwenye riport ya CAG.
 
Back
Top Bottom