Tahariri ya Mtanzania: Uchaguzi wa Meya wa Arusha ni Batili!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahariri ya Mtanzania: Uchaguzi wa Meya wa Arusha ni Batili!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Dec 21, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wazee,
  Nimesikia kwenye dodoso za magazeti kwamba tariri ya gazeti la Mtanzania inapinga namna uchaguzi wa Meya Arusha ulivyoendeshwa kihuni kwa kuhusisha vyama viwili tu vya ccm na TLP na mbaya zaidi kuna mjumbe mmoja wa ccm ambaye kisheria hakustahili kushiriki kwenye uchaguzi. Mwishoni, tahiriri inatoa ushauri uchaguzi urudiwe.

  Binafsi siamini kama Mhariri wa RA anaweza akawa na mtazamo huo na akauonyesha waziwazi tena kwenye eneo nyeti la gazeti kama tahariri. Imekaaje hii wazee, kuna mabadiliko gani yametokea.
   
 2. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Sure Mhariri yupo sahihi, uchaguzi ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu kama desturi ya chaguzi za CCM hasa dalili za kushindwa zinapoonekana.Pia Diwani mjinga waTLP alikuwa upande wa ccm naye ametambua ujinga wake baada ya kuguswa na Mungu na ubinadamu ukamjia na kusema uchaguzi haukuwa wa haki CCM IS VERY FOOLISH.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hata Kipofu anaona nini kilitokea Arusha.
  Cha msingi ni uchaguzi urudiwe.
  Sheria zifuatwe.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  urudiwe lakini yasiishie hapo, hao walihusika kupindisha sheria ziwatafune kama kweli tunataka kuona taifa lenye misingi ya kuheshimu sheria za nchi yetu.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  Kijana alioko mle ndani sisi tunamfahamu vema (Rweyemamu) ni KICHWA tena sana tu. Tatizo lake kubwa ni SERA zinazotumika kuendeshea vyombo hivyo. RA anasemekana kuwa ni kila kitu kwa maana ni mwandishi wa habari mkusanya habari, ni mhariri yeye yeye huyo, ni msimamizi wa uzalishaji.

  Hivyo kama umesikia dodoso la aina hiyo basi RA ama kaenda safarini Iran hayuko nchini au kule anakofanyaga mikutano yake ya faragha sana Ujerumani ndi ikafanya PANYA apate kutawala baada ya PAKA kusafiri.

  Ngojea wiki mbili zijazo utajionea mwenyewe aina ya habari na tahariri wanazozitoa gazeti mle ndio utashangaa baada ya FISADI kurejea nchini.

  Na ninaamini RA akiendelea hivyo basi pale Habari Corporation huenda pakageuka Godown ya kuhifadhia mijenereta chakavu ya DOWANS.
   
 6. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapa ndipo Watanzania tunapoangukia. Hivi unaangalia vigezo gani kumwita mtu "kichwa" halafu unamtetea kwa hatua yake ya kuendelea kumfanyia kazi "gaidi." Kichwa kinaanzia katika kukataa uhuni. Muhingo wa New Habari na Salva wa Ikulu kuna tofauti gani. Salva yeye si kichwa? Hivi kichwa ni nini? Jamani, kwanini kila kitu kinakuwa politicized? Siasa hadi kwenye scienfic proofs. Ah, Africa bwana!!
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Huo mbona ni Uhuni tuu ulifanyika!

  Kila mtu ameona sasaivi tunangoja Busara/mahakama zitumike kurekebisha hilo tatizo.
   
 8. M

  Mantisa Senior Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ama kweli CCM inafia mikononi mwa JK. Siwezi kuamini kama kweli Chama kikongwe kama CCm kinaweza kuwa na mbinu fake kama hizi

  Wake up CCM otherwise you are lost completely
   
 9. p

  pierre JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shame on you CCM kumbe ninyi ndio wa kwanza kuimega amani mnayotamba nayo kumbe hamkuijenga ninyi.CCM kimekuwa chama cha wahuni sasa.MOD usinifungie kwa kutumia neno wahuni.N ahuyu aliyepewa jukumu la kusimamia uchaguzi na hajui sheria basi aondolewe maramoja akajifunze sheria vizuri,
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  3D pole kwa frustrations zako hasa katika eneo hili jekundu. Umenifanya nicheke sana ulivyonizodoa hapo. Kwa kweli kijana Muhingo Rweyemamu ni mwanataaluma mzuri sana katika fani yake hiyo ya uanahabari.

  Akiachiwa UHURU wa kuendesha vyombo kwa mtazamo wa kitaaluma mambo yanaweza yakabadilika sana pale. uTatizo ni SERA na mitazamo binafsi za GAIDI / FISADI Rostam Aziz na wanahisa wenzake wengine wawili ambao wote ni wenye damu hizo hizo za kunguru kwa taifa letu na jinsi wanavyoipora.

  Kwa kukujibu, mimi simuungi mkono kumfanyia kazi huyu GAIDI full stop.

   
 11. 911

  911 Platinum Member

  #11
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Hata saa iliyosimama kuna wakati huonesha muda sahihi
   
 12. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hiyo inaitwa nitolee..
   
 13. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Akutolee nini, na wapi?
   
 14. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #14
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mhariri yupo sahihi na tena namponeza kwa kujiamini, ni kweli uchaguzi ulikuwa wa kihuni, ila tataizo kubwa ni kwamba vyama nyote vya siasa vimeungana na Ccm dhidi ya Chadema kwenye uchaguzi wa umeya, na hili la Arusha litatokea Mwanza kwa sababu Cuf nao eti wameungana na Ccm.
   
Loading...