TAHAR SABAR: Mwanadada aliyefanya plastic surgery zaidi ya Hamsini ili Afanane na Angelina Jolie

WASAALAM

Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE

View attachment 1700531

Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.

View attachment 1700532

Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.

View attachment 1700533

Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.

View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE

DA'VINCI XV
Yaan Watanzania huwa tunadanganya na vitu vya kipuuzi kwa sababu ya uvivu wetu, yaani ukienda Google ukatafuta hilo jina lake ukurasa wa kwanza tu unakupa jibu kuwa siyo plastic surgery bali ni photoshop na make up! Msiwe mnaamini kila kitu!
 
nani mtanzania sasa??
 
Hii habari siyo kweli, Huyo mdada alifungwa kwa kosa la kuvaa kinyago huko iran hii ilipelekea watu kupaza sauti ya kuomba aachiliwe. Na siyo kweli kwamba alifanya plastic surgery. Hii habari mbona ilikuwa kubwa mwezi January mwaka huu au December mwaka jana.
Watu wengi walikuwa wame-follow instagram walijua ni kweli alifanya mabadiliko ya kubadilisha sura. Ila alivyotiwa kizuizini ukweli ndio ukajulikana.
ok asante kwa taarifa๐Ÿ™
 
Kweli mkuu Watanzania wavivu sana, hata kwenda google.com tu inawashinda, kila wanachoambiwa wanaamini.
 
Back
Top Bottom