Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 786
- 945
Hapa bongo ni sehem wanafundisha
Je kwenye mchakato huu mtu huwezi kurun mental?ni kweli na sawa kabisa kwakuwa lengo kuu la meditation ni kuikusanya mind yako irudi na kukaa sehemu moja, ni katika huo mchakato hutokea mambo mengi ya ajabu na wengine huugua kabisa
Hakuna Binaadamu akawa na Nguvu za Mungu.
Huu ndio Uongo wanaotumia Kina GWAJIMA kuibia Watu.
Yesu Alisali Sala Ya KUMUOMBA MUNGU sio Kusali Kwa ajili ya Kutafuta Nguvu za Mungu.
Moja ya Nguvu za Mungu ni Kulipa waungwana Pepo na wabaya MOTO.
Yesu alikuwa na Uwezo Huo?
Mkuu tupe mrejeshoNimesoma huu Uzi vizuri sana , shukrani za kipekee kwa Mtambuzi, Pasco, Mayalla na Mshana.
Nitaanza hili zoezi ili kufungua ufahamu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ValasMoghulas, karibu mitaa hiI, huyu Mkuu Mtambuzi ndiye mwalimu wetu humuHeshima yako kaka pasko,umenishawishi sana kujiunga jamii forum
hahahaaaa kwahyo ww ni mtume wake au"?Machale..... ndio maana naona wanaofanya meditation kama wanga.
Kuna jamaa yangu Rodrick Ntepa aliniambia kaanzisha dini yake inaitwa WANAZARAYO. Na yeye ndiye Mungu wa dini hiyo. Akanifundisha ku meditate. Tulimeditate kwa masaa matatu none stop. Yeye akaniambia alishawahi kumeditate hadi akawa kama mfu. Na siku hiyo alikuwa ameenda kwenye mbingu ya saba ambako anakaa Mungu wa Wakristo.
Hizi mambo zingine hizi kujaribu sio poa kabisa,unaweza usiamke milele atii,.
Sijakuelewa..Hii komenti inaonyesha jinsi gani unavojua mambo ya ulimwengu baki nayo mwenyewe. Ila kwa watu tusiojua kama sisi ukija na hii komenti tunakushangaa sana