Weekend hii yamemkuta yalio mkuta,jamaa yangu mmoja ambae bila kutarajia wala kutegemea,amejikuta kwenye balaa kubwa,katika hoteli moja maarufu hapa mjini DAR.
Jamaa huyo alikutana na binti mrembo sana, wakapanga wakaelewana wakakutana hotelini,wakati kila mtu kaweka nguo kando kwa ajili ya mechi, kabla ya mechi kuna yale mazoezi ya kupasha mwili moto(romance)binti kajifanya kapagawa ajabu. Akamsihi jamaa amnyonye chuchu, mara ninyonye na ziwa hili, mara na hili. Baada ya muda jamaa kalegea hakujitambua tena na baada ya kuzinduka kakuta kaibiwa sh milioni 3 alizokopa toka benki. ukweli ni kuwa kwenye chuchu yule binti aliweka madawa ya kulevya.
Tahadhari na ushauri;
Najua humu ndani JF kuna wanaume safi, sio wakware kama huyo jamaa.Ila tuwatahadharishe hao jamaa zetu nje ya JF masharp/wakware;
1.Kwanza wakipata mkopo wafululize moja kwa moja majumbani kwao na wawakabidhi furushi lote la pesa wake zao.
2.Kama hawajaoa kwa nini wadroo pesa zote toka benki? waache shoo za mitaani,
3.Kwa wanaume na wanawake ukiwa baa au grocery chonde chonde usitoke ukaacha kinywaji chako mezani,waweza leweshwa.
4.Usimwamini mtu usiemjua labda awe.
5.Ukiwa safarini,usije pewa biskuti,pipi, au chakula chochote na jirani yako.
6.Ukipewa lift na mtu usiemjua, sisitiza vioo vya gari vifunguliwe.
Hizo ni baadhi tu ya tahadhali.