Tahadhari ya ugonjwa kwa wakazi wa dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari ya ugonjwa kwa wakazi wa dar es salaam

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by dubu, Mar 27, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Kama wewe unajijua upo dar es salaam kaa chonjo. Kuna ugonjwa wa macho umeibuka kwa kasi ya ajabu. hadi baadhi ya member wa jf wamekumbwa na huo ugonjwa wa macho. huu ugonjwa umetapakaa kila kona ya dar es salaam. kama hamuamin waulizeni member wa jf senetor na kiduku.
  hii hali imenifanya kila jioni niwe naogelea hapa barakuda au mikadi kwenye maji ya chumvi ili usinipate. kesho ntaenda kuogelea kipepeo iliyopo mji mwema kigamboni na dena amsi au angel msoffe mchana kweupe bila nguo. karibuni sana.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Hapa Jei Efu naweza kuupata huo ugonjwa? :flock:
   
 3. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Dah!!!!
  Asante kwa taarifa but hayo mengine una lako jambo!!!!
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kimtazamo wako unaweza kwa kuwa unaspread kwa wireless sio wired au contacted ilo la wezekana..
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Usisahau kuja ogelea The Hunters au Chadibwa!!!
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wewe ndie utakaeuleta humu...sisi tuko swafiii!..
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  POLENI wote mnaosumbuliwa na Red Eyes..
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Poleni sana
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Bahati nzuri mimi sipo Bongo kwa sasa ila huo ugonjwa nilishaugua tkea niko mtoto so hata ningekuwepo usingenisumbua.
   
 10. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​huu ugonjwa unanisumbua tokea jana sina raha hata kidogo
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  pole. . . . .
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Bora umeamua kuwa kondoo yaishe! Mie msabato, pita baba sina mkuki!
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kufikiria kutoa alert. Ugonjwa unaoongelea ni red eyes. Haukingwi kwa kuogelea baharini, usistutishe sie wa gongo la mboto bure! Good hygiene ndo mpango mzima, usijishike macho bila kuna mikono na sabuni na nawa mikono kila baada ya kuhudumia mgonjwa.
  Watumiaji wa gesti ama mnaolala kwa watu, funika mto kabla ya kulala.
   
 14. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  heri mi niko lilunga,huku tuko salama.
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hahahaa huu ugonjwa ni kiboko yani ukiinama unasikia jicho linachomoka, mimi niliupata nikaenda kunawa maji ya baharini mara 2 tu! kwisha kabisa habari yake
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sio Dar tu. . .
  Watu wa Arusha wapo waliopata na kupona tayari.

  Dawa.
  Chemsha chai ila tia majani mengi, yakishachemka na kupoa kidogo osha macho na yale maji/chai.
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Huo ugonjwa haukwepeki lazima uupate! kama usipoupata mwaka huu utaupata miaka mingine inayokuja .....bora miye nipo MASAKI magonjwa kama hayo huwaga hayafiki.
  MP.
   
 18. S

  Skype JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hii kitu (RED EYES) imesumbua sana maeneo ya pale udsm main campus na kule mabibo hostel kwa takriban wiki 3 sasa ila jambo la muhimu ni kujitahidi kuepuka mdudu inzi ambaye ndo hubeba vijidudu vya ugonjwa toka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Vilevile kuzingatia kanuni za afya kama vile kunawa mikono mara tu na baada ya kushika kitu kutasaidia sana.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  dah, nikupata mwaka huu naandamana, kila mwaka ambao tarakimu 2 za mwisho zinagawanyika kwa nane huwa naupata.

  Niliapa sitaupata mwaka huu.
   
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Pole jamani....sie wapenda kushika macho kila saa si ndo itatucost?
   
Loading...