Tahadhari ipi?Swala la kuzimwa kwa internet lilitolewa mapema sana mwezi huu mwanzoni na hata mwezi uliopita wa tisa, watu tukashindwa kuchukua tahadhari.
Ulitaka tuchukue tahadhari ipi??Swala la kuzimwa kwa internet lilitolewa mapema sana mwezi huu mwanzoni na hata mwezi uliopita wa tisa, watu tukashindwa kuchukua tahadhari.
Hata hapa wangefunga ukose pa kutuma UJINGA wakoHuko VPN hakuaminiki tusifungue
Kunaaminika sana tu. Sia ajab ww mwenyewe unatumia.Huko VPN hakuaminiki tusifungue
Hakuaminiki kwani walikubaka huko au?maccm majitu ya ovyo sana,Huko VPN hakuaminiki tusifungue
kweli wamezima na leo usiku saa 9 naona walizima kabisa mpaka backbone ila naona kuanzia saa 12 atleast imeanza kujisogezaSwala la kuzimwa kwa internet lilitolewa mapema sana mwezi huu mwanzoni na hata mwezi uliopita wa tisa, watu tukashindwa kuchukua tahadhari.
kweli wamezima na leo usiku saa 9 naona walizima kabisa mpaka backbone ila naona kuanzia saa 12 atleast imeanza kujisogeza
Swala la kuzimwa kwa internet lilitolewa mapema sana mwezi huu mwanzoni na hata mwezi uliopita wa tisa, watu tukashindwa kuchukua tahadhari.
Huko VPN hakuaminiki tusifungue