Tahadhari ya kuzimwa kwa Internet ilitolewa mapema sana ila kama kawaida Wabongo ni wabishi sana

Nasikia eti Pole pole na Pombe wao plus genge lao wao wanawasiliana vema tu.

Hivi hiki walichofanya si ni kuongeza hasira kwa watanzania including ccm wenyewe. Mimi nimekosa hela ya matibabu toka jana. Hakuna miamala
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Swala la kuzimwa kwa internet lilitolewa mapema sana mwezi huu mwanzoni na hata mwezi uliopita wa tisa, watu tukashindwa kuchukua tahadhari.
kweli wamezima na leo usiku saa 9 naona walizima kabisa mpaka backbone ila naona kuanzia saa 12 atleast imeanza kujisogeza
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom