Tahadhali: Wizi wa Mb Halotel

Unatumia simu aina gani kiongozi, check updates zote ziwe off, na just try to limit the numbers of the running background apps..

If all of the above is clear basi there should be a bashite style, you better run.
kaka,nimepigwa mb 1000 nikiwa nimelala,simu imezimwa OFF kabisa
 
Hata Mimi nashangaa
mi ni mteja wao karibu miezi 5 ila kwangu hilo tatizo lina week moja nilkuwa nasikiaga kwa wengine,Its just a matter of time utakuja simulia au jaribu kuzima data hata usiku ukilala,amka asubuhi ucheki salio utagundua kitu kwa hao jamaa
 
Mimi nina shida km hii kwenye tigo kwa siku naeza kutumia mpaka GB 2 bila sabab ya msingi. Kuna wakat natumia JF, FB na whatsapp ila unakuta naambia kifurush kimekata dah huwa wananifanyia hovyo sana. Eti jana nmeenda kureport ofc zao yule mhudumu ananijib "hata mm nina tatzo km hlo" tayar nkamuona chenga nkasepa zangu. Kesho naenda kkoo kununua kitochi niweke hii line yao ya tigo then ntaangalia ustaarab mwingne wa kutumia kwenye haya mambo ya bando ila tigo mnikome. Halaf kingne cha kushangaza huwa wanapunguza ukubwa wa bando kimya kimya kudadek zao wala hawasemi.
 
Mkuu usiongee hivyo, weka 1200mb za 1500 ndani ya masaa 2 hazipo hata kama hufanyi chochote kile kitendo tu cha data kuwa on ni balaa, mbona wanzo tulikuwa hatulalamiki? watu siyo wajinga.
Hata mimi hili jambo nimeliona, nikiwa na Mb1500 za voda nakaa nazo mwezinmzima lkn nikiwa na kiasi hichohicho halotel nakaa nazo chini ya wiki mbili. Kuna tatizo linatakiwa lifuatiliwe kwa hawa Halotel sio bure
 
Mimi nina shida km hii kwenye tigo kwa siku naeza kutumia mpaka GB 2 bila sabab ya msingi. Kuna wakat natumia JF, FB na whatsapp ila unakuta naambia kifurush kimekata dah huwa wananifanyia hovyo sana. Eti jana nmeenda kureport ofc zao yule mhudumu ananijib "hata mm nina tatzo km hlo" tayar nkamuona chenga nkasepa zangu. Kesho naenda kkoo kununua kitochi niweke hii line yao ya tigo then ntaangalia ustaarab mwingne wa kutumia kwenye haya mambo ya bando ila tigo mnikome. Halaf kingne cha kushangaza huwa wanapunguza ukubwa wa bando kimya kimya kudadek zao wala hawasemi.

Pole mkuu mm tigo toka juzi nilikua na mb500 naingia insta,jf,google na whatsap mpk mda huu nna mb 300
 
Ngoja Nami nifanye majalibio nikibaini naanzisha kunji la nguvu mpaka boss wao baba r1 atajuta
 
Hata mimi hili jambo nimeliona, nikiwa na Mb1500 za voda nakaa nazo mwezinmzima lkn nikiwa na kiasi hichohicho halotel nakaa nazo chini ya wiki mbili. Kuna tatizo linatakiwa lifuatiliwe kwa hawa Halotel sio bure
Mwanzoni ilikuwa mb 600 wiki nzima na wakati mwingine haziishi lakini sasa ni balaa japo naona wamerekebisha kidogo wikii siyo haba.
 
Sasa unalalamika udownlod kitu unazania picha insta,Fb,Jamii forum zinafunguka Vila kutumia mb?? Mbona mimi kwangu halotel iko poa sema voda na tigo ndo wezi
 
mie yamenikuta ndani ya siku mbili hizi mimeamua na kuitupa laini yenyewe
 
Hawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao

Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu sana,mb zinakatika kwa speed ya ajabu nikasema jana usiku nifanye jaribio fulani

Nimelala saa nne nikiwa na MB 1000 nikazima data na simu kabisa,naamka saa 12 nina MB 200 jesus christ nikasema ni peruse jamii forums,in 30 minutes nina MB 0,nikiwapigia wananiambia eti niende kwenye office zao

Leo naweka mb kwa mara ya mwisho nione tena wizi wao unaendaje,jamani HALOTEL VAS kuweni na huruma jamani,uchumi wenyewe wa kibashite tunaumizana hivi? mimi mwenyewe ni mteje loyal kila siku naunguza karibu 4,000 kwa mb zenu mnanifanyia hivi jamani??

UPADATE: saa 8.30 asubuhi niliweka tena 1500 mb sasa hivi saa 12.52 mchana nina 411 mb,hapo nipo jf na facebook tu toka asubuhi,sijadownload kitu wala sija stream video....ENOUGH IS ENOUGH HALOTEL VAS narudi airtel hata kama speed ndogo lakini kufanywa bashite kwa kuibiwa mb siwezi tena...byebye,itabaki line ya kupokelea simu tu.
Ni kweli kabisa, hata mm ilishanikuta hiyo kadhia. Nilinunua kifurushi cha wk cha Tshs 2500 nikapewa mb 2560 lkn kabla ya saa 24 hazijaisha naambiwa sina bando la mb na sikufungua hata YouTube labda wangesema nimetumia zikaisha. Nilipowapigia sim hakuna cha maana walichonijibu. Nowadays natumia sana voda kuliko halotel, nachelea kusema halotel ni wezi na wasipobadilika wateja wengi watawakimbia.
 
Back
Top Bottom