Tahadhari video inatisha: Dada huyu alifanya nini hadi kutendewa haya?

Ina tofauti gani na Uarabuni hii hoja yako, huoni jinsi waafrika wanavyo uliwa huko na ukilalamika unanyongwa. We mtu naona kichwani hamnazo, yaani unafumbia macho madhambi ya waarab na kuwabeza? Genocide ya kwanza ya waafrika ililetwa na waarab walipokuja kuvamia Afrika ya kaskazini na kuwataka waafrika wabadilishe dini kuwa waislam, waliopinga wengi walikuwa beheaded na wengine walikimbilia chini (South of the Sahara) ndipo waarab wakaja kutoka Mashariki ya kati na kulowea huko mpaka leo hii. Soma history ndipo utajuwa ukweli, siyo unakuja tu hapa na hoja za kipuuzi. Waarab si watu wa kuwabeza hata siku moja ni makatili shinda mnyama yeyoye umjuaye wewe.
Hana akili timamu huyo bibi kigagula
 
Niliona wanasambaza kwenye magroup ikiwa imeambatana na hii meseji ya kizungu hapo chini, sijui ni kweli..........


Please when you receive this video, forward it. Share it as widely as possible! There are some fake agencies from China, Korea, Japan and other parts of Asia currently opened in Nigeria, Ghana and other African countries, promising jobs (domestic ones, such as house-keeping, baby-minding, etc). However, on arrival, they turn you to any thing less than human. Murder our people especially girls for their kidney, Heart and Liver. Mostly our own African brothers and Sisters involving in human tracking to Dubai, Cairo especially in Libya, Egypt and Lebanon.
They will prepare your travelling documents and everything; when you reach there, that will be your hell and end of your life. the accompanying video was secretly recorded by a passer-by which was unaware to these culprits and the video says it all. The life you save by circulating it might be your very relative's. Thank you.
Asante kwa kushare..
Ila hii video haiwezi kuwa imechukuliwa na passerby ..kutokana na ukaribu wa picha...video itakuwa imechukuliwa na mmoja wa hao washenzi...passerby hawezi kufika mpk kushoot uso wa huyo victim kwa karibu kabisa lakini ashindwe kuonesha nyuso za hao washenzi.
 
Hiyo utajaza wewe, mimi nasema hiyo ni Brazil, nchi kubwa yenye wakatoliki wengi zaidi duniani, sasa wewe njoo na kusema vinginevyo.
Wewe mwanamke unaonekana ni mdini sana tena sana,

Sielewi ni kwanini umegeuza uzi huu kuwa wa kidini.....!nani kakwambia hiyo dada ni Wabrazil....?

Punguza udini hautokusaidia chochote ktk maisha yako zaidi kuchafua taswira yako ndani ya forum hii....

Kati ya watu wanaopost upuzi humu JF wewe ni miongoni,kama ni mwanamke utakuwa ni wale wanawake mlango wa nane.
 
Bi faiza wape darsa ili mara nyengine wakija na vipost vya kif*l* kama hv na kusingizia warabu na wahindi na dini safi ya kiislamu wawe wameshafanya homework yao vizuri.
 
Kwahiyo akishasema.. Wewe unaingiza shingapi!!!
Fala wewe!!
baa9f4797fa5eac94b836b66a17f4177.jpg
dc3bf02ba684281f481d45a9dde362ac.jpg
d3ff81f3be442688d79f0bf79760ce91.jpg
8fb7df78e2ed2af80fa7d66add71a63f.jpg

Hizo hapo ushahid live wanavotolewa kafara tena na serikali
 
Huo alievaa kanzu na kushika jambia anatoa kafara ni ureno?
Asante. Maana kuna mijitu inajitia wao Ndio wao,waMeshukiria ureno Brazil... foxy hatujui hiyo tunamjua fox tu Hapa we foxy wa madori Kama kuku wa kuchora hudonoi wala hiwiki upo upo tu
 
Wacha kutukana wanawake wewe, huyo si mgeni yupo kwao, hiyo ni Brazil, nchi kubwa ya kikatoliki duniani.

Jee, si makafara ya kanisa hayo?
Tulidhani umesoma dini ili ikukomboe lakini maskini dini imekufanya kuwa mtumwa hata hujitambui. Ukatoliki unaingiaje hapa, huo ni wi ujinga sababu huna jinsi ya kujivua hilo ghunia,
 
Tulidhani umesoma dini ili ikukomboe lakini maskini dini imekufanya kuwa mtumwa hata hujitambui. Ukatoliki unaingiaje hapa, huo ni wi ujinga sababu huna jinsi ya kujivua hilo ghunia,

= gunia


Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango, pitia uzi vizuri kabla hujakurupuka jibu lako lipo humuhumu.
 
Kwa kuwa tu nimeuweka ukweli kuwa huo unyama umefanyika Brazil, nchi kubwa ya kikatoliki duniani?
Din fulan kuwa kwa wingi eneo fulani hakubadilishi uovu wa mwanadam!!! uovu wake utaendelea kuwa pale pale na unaweza kuongezeka kwa kutumia mwamvuli wa din???
 
Hyo picha nilisikia shehe mmoja akisema kuwa kuna watu wanakuja Africa kwa lengo la kuchukua viungo vya watu vya ndani, so wanatafuta ukaribu na watu kisha wanawanunua watu na kutoa viungo vya. Ngoja niitafuta hiyo audio ambayo iliambatana na hiyo video iliyopostiwa.
 
Din fulan kuwa kwa wingi eneo fulani hakubadilishi uovu wa mwanadam!!! uovu wake utaendelea kuwa pale pale na unaweza kuongezeka kwa kutumia mwamvuli wa din???


Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, zingine ni dini za kwa shetani.

Vyema sana, sasa kwanini post namba nne ikakwepa nchi husika na kuzitaja nchi nyingine kwa makusudi kabisa kuzifanya zionekane ndiyo zinafanya ushenzi huo? Fikiri.
 
Hyo picha nilisikia shehe mmoja akisema kuwa kuna watu wanakuja Africa kwa lengo la kuchukua viungo vya watu vya ndani, so wanatafuta ukaribu na watu kisha wanawanunua watu na kutoa viungo vya. Ngoja niitafuta hiyo audio ambayo iliambatana na hiyo video iliyopostiwa.

Nimeisikia hiyo audio, sijui kwanini imekufanya useme kuwa anaesema yale ni "shehe" kwa sababu hajajitaja.
 
Back
Top Bottom