Tahadhari video inatisha: Dada huyu alifanya nini hadi kutendewa haya?

Kuna wapumbavu na wajinga wameingiza udini. We ni mjinga na mpumbavu wankarne hii.na hata kwa mujibi wa dini yako umehuku so na wewe subiri kuhukumiwa

Kasome post namba nne, vipi huyo ni mjanja sana kwa kujaribu kuzitaja nchi ambazo hazihusiani na huu unyama kabisa?

Hapo hakuna udini, kuna laana ya Wabrazil, taifa kubwa la kikatoliki duniani kutoa watu weusi kafara. Funguka kijana na utumie ubongo wako kufikiri japo kiduchu si kuacha kichwa chako kuwa ni mzigo tu juu ya mabega yako.
 
Hapo cyo Brazil ni Saudia
Nchi yenye waislam wengi duniani wakimtoa kafara Dada wa watu

Hahahahaha

Saudia haina "Waislam wengi duniani " wacha kudanganya. Nchi yenye Waislam wengi kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwa sasa ni Indonesia.
 
Hiyo ni Brazil. Unajuwa kuwa taifa kubwa la kikatoliki duniani ni Brazil au hujui?

Unajuwa kuwa sanamu kubwa la Yesu duniani lipo Rio de Janeiro Brazil au hujui?

Najua sana kwamba wakatoliki wengi wako Brazil na ni wengi wa hao weupe ni wale wliokimbia vita Ulaya ya kilatini. Hiyo sanamu ya Rio ndo ishara kubwa ya ukatoliki ikiwa na maana ya 'Christ the Redeemer'. Ilibuniwa na mfaransa mmoja enzi zile na wansema kwa sasa inatunzwa na padri Omar Raposo wa parokia ya Rio de Janeiro.
Sanamu zisikusumbue saana na imani yako potofu, inajua kwa nini pale bandarini New York kuna ile sanamu ya mama amenyoosha mkono wenye mwenge?
 
Kama unaelewa yote hayo sasa sema huo unyama ulifanyika na unafanyika Brazil nchi yenye wakatoliki wengi zaidi duniani au New York?
 
Wacha kutukana wanawake wewe, huyo si mgeni yupo kwao, hiyo ni Brazil, nchi kubwa ya kikatoliki duniani.

Jee, si makafara ya kanisa hayo?
Akili zako chache kama sura yako.... hamna kiashiria chochote cha udini kwenye hlo tukio.... umebaki unang'ang'ania... nchi yq kikatoliki... mbna unapigana sana kutuonyesha umaskin wako wa fikra?
 
Hahahahaha

Saudia haina "Waislam wengi duniani " wacha kudanganya. Nchi yenye Waislam wengi kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwa sasa ni Indonesia.
Indonesia kivip? Kwhyo Saudia ni wakristo wale wanatoa kafara za kuchinja watu kila siku
 
Kwa mazingira hiy clip inaonesha kuw alishakula chawatu sas malipo yake ndo hayoo na kama sio bongo pia itakuw fundisho kwa madada wakibongo na shobo ming ohoo...ulaya cjui dubai,,,,wat th fu,ck......

Hapana, hakula cha mtu, hayo ni makafara ya binadamu yanayofanywa Brazil, taifa kubwa la kikatoliki duniani.

Hususan wa Brazil weupe huwatoa kafara Wabrazil weusi kwa kuwa wanaamini hao watu weusi ni kama wanyama tu.
 
Ina tofauti gani na Uarabuni hii hoja yako, huoni jinsi waafrika wanavyo uliwa huko na ukilalamika unanyongwa. We mtu naona kichwani hamnazo, yaani unafumbia macho madhambi ya waarab na kuwabeza? Genocide ya kwanza ya waafrika ililetwa na waarab walipokuja kuvamia Afrika ya kaskazini na kuwataka waafrika wabadilishe dini kuwa waislam, waliopinga wengi walikuwa beheaded na wengine walikimbilia chini (South of the Sahara) ndipo waarab wakaja kutoka Mashariki ya kati na kulowea huko mpaka leo hii. Soma history ndipo utajuwa ukweli, siyo unakuja tu hapa na hoja za kipuuzi. Waarab si watu wa kuwabeza hata siku moja ni makatili shinda mnyama yeyoye umjuaye wewe.
 
Back
Top Bottom