G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
Muda wote huwa unawaza negatively.
Acha ushabiki usio na Tija, kwa hiyo Ripoti isisomwe kwa kuwa kuna mjadala wa Bajeti, ina uhusiano gani? Lissu atabadili nini?Mods naomba uzalendo wenu katika hii mada maana hii nchi ni yetu sote.
Wadau,kwa mtazamo wangu,Ripoti ya Pili kuhusu mchanga wa dhahabu kuwasilishwa jumatatu siku ambayo mjadala wa Bajeti unaanza ni mbinu tu ya ku-divert attention ya watu wakiwemo wabunge ili mjadala wa Bajeti upite kiulaini.
Tundu Lissu na wapinzani kwa ujumla muipe kisogo taarifa hiyo mpaka kwanza mmalize mjadala wa Bajeti ndio kisha mjikite kuichambua hiyo ripoti.
Ni mtazamo wangu huu.
Mods naomba uzalendo wenu katika hii mada maana hii nchi ni yetu sote.
Wadau,kwa mtazamo wangu,Ripoti ya Pili kuhusu mchanga wa dhahabu kuwasilishwa jumatatu siku ambayo mjadala wa Bajeti unaanza ni mbinu tu ya ku-divert attention ya watu wakiwemo wabunge ili mjadala wa Bajeti upite kiulaini.
Tundu Lissu na wapinzani kwa ujumla muipe kisogo taarifa hiyo mpaka kwanza mmalize mjadala wa Bajeti ndio kisha mjikite kuichambua hiyo ripoti.
Ni mtazamo wangu huu.
Naweza kukuelewa hivi Bajeti ya Wapinzani haitasomwa live kupisha mwenye makinikia kuonyesha makinikia mengine.
Moderator unga tu huu uzi na ule wa ripoti kuwakilishwa hauna hadhi Ya kuwa stand aloneMods naomba uzalendo wenu katika hii mada maana hii nchi ni yetu sote.
Wadau,kwa mtazamo wangu,Ripoti ya Pili kuhusu mchanga wa dhahabu kuwasilishwa jumatatu siku ambayo mjadala wa Bajeti unaanza ni mbinu tu ya ku-divert attention ya watu wakiwemo wabunge ili mjadala wa Bajeti upite kiulaini.
Tundu Lissu na wapinzani kwa ujumla muipe kisogo taarifa hiyo mpaka kwanza mmalize mjadala wa Bajeti ndio kisha mjikite kuichambua hiyo ripoti.
Ni mtazamo wangu huu.
Mkuu upinzani hawajawahi soma bajeti mbadala hata siku moja toka mfumo wa vyama vingi uanze. Hawajawahi tengeneza bajeti mbadala ikieleza kuwa upinzani mapato yangekuwa shilingi ngapi vyanzo vya mapato vingekuwa vipi na matumizi yangekuwa shilingi ngapi na kutoa breakdown Na vipau mbele vingekuwa vipi na vya shilingi ngapi? Subiri hotuba ya waziri kivuli wa upinzani aisome ni vituko hana bajeti mbadala wala nini utakuta anaongea vitu hewa kama mlevi tu hana bajeti mbadala kabisaNaweza kukuelewa hivi Bajeti ya Wapinzani haitasomwa live kupisha mwenye makinikia kuonyesha makinikia mengine.
DUA LA KUKU...Sitegemei jipya kwenye uwasilishaji wa ripoti madini hayo matokeo ya maamuzi ambayo walifanya wao wenyewe. Watanzania fidia ambayo tutaipata kwenye swala la kuzuia hatoamini maamuzi ya mtu mmoja aliyekurupuka yatatugharimu
Bajeti ni lazima ipite,wabunge hawana jeuri ya kutokupitisha bajeti kwa sababu athari za kutopitisha zinawakumba wao direct....tuwache sie tusikilize mapendekezo ya kamati ya pili we baki na hisia zako za kipotoshaji.Wadau,kwa mtazamo wangu,Ripoti ya Pili kuhusu mchanga wa dhahabu kuwasilishwa jumatatu siku ambayo mjadala wa Bajeti inaweza ikawa ni mbinu tu ya ku-divert attention ya watu wakiwemo wabunge ili mjadala wa Bajeti upite kiulaini.
Tundu Lissu na wapinzani kwa ujumla muipe kisogo taarifa hiyo mpaka kwanza mmalize mjadala wa Bajeti ndio kisha mjikite kuichambua hiyo ripoti.
Wapinzani ni wachache na hamuwezi zui hiyo Bajeti kupita ila logic hapa ni mapungufu ya hii Bajeti umma uweze kuyaelewa kupitia kwenu ili huko baadae ije ieleweke nani alikuwa chanzo cha matatizo.
Ni mtazamo wangu huu.
Hussein mohamed bashe kashaipinga kabla haijafika ......Bajeti ipi mkuu' kwa makofi Yale unadhani kuna atakaye simama kuipinga?