Tahadhari: Utitiri wa wageni toka Afrika Magharibi na wizi wa mitandao

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
1,166
1,070
Moja ya changamoto kubwa ktk afya ya taasisi za fedha na uchumi kwa ujumla ni wizi kupitia mitandao (Cyber Crimes, Frauds, etc)..Utakatishaji fedha..

Wageni wengi toka ktk nchi za Afrika magharibi hasa Wanaijeria (Nigerians) wanakuwa wakituhumiwa na wengine kukutwa na hatia ya wizi wa mitandao hususani ktk mabenki (Credit cards,debit cards,etc)..

Kwa sasa nchini Kwetu kumekuwa na Ongezeko kubwa sana la ndugu zetu hawa ambao mataifa mengi yamekuwa yakilia juu ya makovu wanayoacha ktk uchumi kupitia wizi wa mitandao.

Wapo ktk mahoteli, Wamepanga ktk apartments nyingi (Masaki, Mbezi, Mikocheni, Oysterbay, Makumbusho, Kinondoni Njiro na kwingineno). Watumiaji wazuri ktk kumbi za starehe, burudani na maduka.Yamkini wengi wamepigwa na kukaa kimya ama bado hawajatambua.

Vyombo vyetu vya ulinzi,Usalama na Taasisi zetu kama FIU,..Endeleeni kufungua macho na kuwadhibiti kabla hatujabaki na manyoya..Mnaweza kudhibiti.

Mungu ibariki Tanzania
 
Nchi imekuwa shamba la Bibi, like no one business.
 
Drama tu muache
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom