TAHADHARI: Upepo mkali ukiambatana na mawimbi kupiga Pwani ya Tanzania na visiwani Zanzibar

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Kwa mujibu wa TMA, hali ya upepo mkali utakaozidi KM 40 kwa saa unatarajiwa kupiga kuanzia kesho na keshokutwa.

Ni muhimu kuwa katika hali ya tahadhari.

TAHADHARI 07-05-2016.jpg
 
Back
Top Bottom