Tahadhari ukienda kununua gari show room kuwa makini sana

yule jamaa na midevu yake anajiffanya ustaadh hamna kitu, na wapo share na skari mmoj simtaji jina ila anatokea Tanga, ana premio ya silver na yupo central, hili genge si la kuripoti kwa IGP, hili analiwe MH MAKONDA PEKEE, natutamfikishia ndiyo anaweza watu hawa na tunamwombe aMungu.
Punguza kumuabudu mwanadamu mwenzio.

Makonda amekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?
 
Ushahidi upo wazi,dawa ya hao wanaokula jasho la wenzao ni Jela tu,pia mamlaka zifunge biashara zao tu...pesa ya benki isipofanya linalokusudiwa maumivu yake ni zaidi ya kung'atwa na nge. Pole sana Mkuu
 
Mkuu usijaribu kununua gari bila kulihakiki TRA
Hata kama imetoka bandarini pitia TRA kwanza watakupa full details ya gari
Kwa mfano kwa sasa hivi huuuzi gari kwa mtu bila kubadili jina(transfer name)baada ya biashara au kabla ya biashara kumalizika‍♂️
 
Jamaa aliuziwa gari imewekwa bond,hiyo ilinikuta 2017 kwenye yard moja mwananyamala ndanindani kwa mswahili mmoja hivi anaitwa shilingi,nlistukia mchezo nkasepa
Kwa sababu asilimia kubwa ya watu hata humu jf hupenda mteremko
Akiona bei ndg anajiona kapata kumbe kapatikana

Ova
 
Ukitapeliwa hapa mjini kupata haki yako utasota sana na wakati mwingine hutapata haki yako. Utaamua tu ngoja nisamehe. Matapeli wa magari wamekuwa wengi sana na wana mtandao mkubwa.

Kuna jamaa anayo kampuni inaitwa MCT Motors anaitwa Emmanuel Shayo. Katapeli sana watu hapa mjini Dar na pamoja na utapeli na watu kuripoti Polisi pale Osterbay na kwingineko bado hajafungwa na anadunda mjini. Kuweni makini na matapeli wa namna hii.
 
Tukisema polisi wanawajua wezi na majambazi na wanawalinda kwa nguvu kubwa mnakataa.
Ccm oyeeeee
 
kumbe walikuwa wanakuuliza maswali ya kipuuzi kwamba gari inaenda mkoani kumbe wana lao jambo
 
Huenda wanayafunga na GPS ili kukutrace ulipo wakuibukie. Hapo ndio utaona bora uagize online tu.
Pole sana kwa changamoto, ndio ukubwa huo. Ila huyo muuzaji sio wa kusamehe.
Tajeni iyo showroom. Kuliko kuiogopa maana inaaribu bihashara za magari na wakati wengine wanafata Procedure zote, alafu matapeli wachache wakilindwa na maaskari na viongozi wa Serikali wanafanya utapeli. Itajeni ili watu waisusie isifanye bihashara
 
Mkuu huyo mdau kakuuliza vizuri mno, lakini unajibu kwa kufichaficha, unaficha nini sasa, unaficha majizi yaliyokupiga?

Taja specifically jina la hiyo garage na pia eleza hizo pesa zako ingawa walikutia hasara, je walimaliza kukulipa na walikulipalipaje? Hilo ndiyo swali la msingi!
Tatizo la wafanyabihashara za magari wapo karibu na wakubwa kwa iyo kuuua ni dakika Chache sana
 
Nimeamua kuandika hii thread kuwatahadharisha mnaonunua magari ktk show rooms kuwa makini yasije kuwakuta kama yaliyonifika mimi .

Nilichukua mkopo Benki moja kwa ajili ya kuendeleza na kukuza kazi yangu.

Nikaenda na pesa ktk showroom moja ipo mtoni kwa Azizi Ally jirani na petrol station na ofisi ya CCM wkt huo nilishakwenda kabla siku 5 nyuma nikachagua gari niliyoridhika nayo nilipochukua mkopo ndipo nikatinga na pesa cash nikiongozana na jamaa zangu 2 nikamkuta mhusika mmoja kati ya 3 nikafuata taratibu za mauziano nikapewa risiti card original na mkataba nikaondoka na gari yangu.

Cha kushangaza yule aliyeniuzia aliniuliza hii gari unaipeleka mkoa gani? Nikamwambia umeniuzia gari hakuna haja ya kujua gari inaenda wapi.

Basi nikaenda na hiyo gari yangu siku hiyo nikaipark nyumbani kwangu. Kesho yake nikatoka nayo saa 7 mchana kwenda nayo Magomeni kuifanyia service ili ianze kazi kweli nikamaliza service nikaenda magomeni Kagera kula.

Nikiwa nakula akaja jamaa mmoja simfahamu akanigusa bega akaniambia wewe ndiwe mwenye ile gari pale nje? Nikamjibu ndio akasema ukimaliza kula nina shida na wewe.

Cha ajabu nilipotoka nje nikakuta pembeni ya gari yangu kuna defender la polisi kuna askari 8 nikapigwa bao la mgongoni nikaambiwa kaa chini tulikuwa tunakutafuta mwizi wewe nikawauliza nimeiba nini?

Hawakutaka kunisikiliza wakaninyanganya funguo ya gari polisi mmoja anaendesha na mimi nimewekwa nyuma nakindwa na polisi 2 mwendo tuliotoka nao pale Kagera kwenda central ni kama jambazi sugu linapelekwa kituoni.

Kufika central nikapandishwa juu ghorofa ya pili kama sikosei kitengo cha magari (siyo trafic) ni central kwenyewe. Tulipoingia ndani juu sasa napelekwa mzobemzobe nikaingizwa ktk chumba ni ofisi kulikuwa na afande mmoja tu hapo ni saa 11:30 jioni, wale askari wakasema afande tumemkamata mwizi wa lile gari ndio huyu.

Nnikaambiwa kaa chini nikatii, yule askari akiyekuwepo ofisini akawaamuru wanipeleke jela shimoni. Mimi nikajitetea siyo mwizi nimenunua hii gari kihalali na documents zote ninazo hapa, wakazichukua nikamwambia lkn kwanini msiende kumkamata aliyeniuzia gari ktk kunitendea haki? Akasema ok nendeni mkamlete aliyemuuzia.

Nikapandishwa ktk defender mpk mtoni kwa Azizi Ally bahati nzuri tunafika tu yule alieniuzia ndio alikuwa anajiandaa kutoka wakamchukua tukarudi tena central .

Yule askari akasema wapeleke jela nikajitetea maana mambo ya jela sijawahi maishani mwangu kuingia kkn wapi. Kufika chini tukajiandikisha nikamsikia askari mmoja anasema wafungie VIP kuna chumba jirani tu na hapo tulipopokelewa kabla ya kuingia jela.

Niligundua yule jamaa na wale maaskari wanafahamiana, tukalala ktk hicho chumba cha vip ilipofika saa 11 alfajiri akaja askari akatufungulia tukapekekwa shimoni ili mkaguzi akija atukute kule, tukakaa mpaka saa sita kasoro mchana majina yakaitwa tukatoka shimoni tukaenda kutoa maelezo.

Mungu mkubwa nikatoka kwa dhamana saa 8 mchana. Tukaambiwa kesho yake tufike pale saa 1:30 asubuhi na ikawa hivyo cha ajabu yule polisi aliyetuamuru mwanzo kabisa nipelekwe jela akamuuliza aliyeniuzia gari umeniletea pesa yangu hakumjibu kitu.

Asubuhi ile nikakuta ile gari yangu haipo pale ilipoegeshwa sijui ilipelekwa wapi mpaka leo kumbe wale jamaa wa ile showroom ktk kujitetea kutokanana na utapeli wao wakasema ile gari kuna mtu alienda pale showroom ana shida ya pesa wakamkopesha akaacha gari yake hiyo niliyoinunua mimi kama bond vile kwa hiyo hiyo gari imekaa siku nyingi wakaamua kuiuza ili warudishe pesa zao.

Wakati nahangaika kwenda pale polisi kila siku kupigania haki yangu kumbe wale jamaa wa showroom walikuwa na kesi nyingine za magari mengine 2 aliyeuziwa gari moja ni askari mwenzao alikuwa Arusha wakawalazimisha wale jamaa wa ile showroom matapeli warudishe pesa za ile gari ya askari mwenzao wa Arusha na wakafanya hivyo mimi wakaniambia nikafungue kesi mahakamani .

Nikafungua kesi Temeke lkn kumbukeni pesa ni ya mkopo bank natakiwa irejeshwe kila mwezi, nikatoa taarifa bank wakaniambia wao hawatambui wanachotaka ni pesa tu.

Nilikuwa na wkt mgumu sana nitarudishaje peza za bank kitendea kazi sina na sijui gari ilienda wapi. Wale matapeli waliposikia nimeenda Mahakamani wakapeleka pesa kiasi polisi Changombe kwa maana wanaanza kunilipa kidogo kidogo sikuwa na jinsi nilipata mateso makubwa mpaka nyumba yangu ikataka kuuzwa kazini nikaingia madeni mamilioni lkn Mungu alinipigania.

Ilifika siku niliamua ninunue petroli lita 30 niweke ktk gari yangu ndg ili nikifika ktk ile showroom niilipue gari ili kama kukosa tukose wote lkn sauti ikaniambia acha kufanya hivyo

Nawashauri kuweni makini na hizi showrooms. Nyingine sizihukumu ila ile ya Mtoni kwa Azizi Ally jirani na ifisi ya CCM mtalizwa.

Hawa jamaa walinisababisha maisha yangu na familia yakawa magumu.
To be honest, huwa sichoki kushangaa mtu kununua gari mbovu showroom wakati unaweza kuagiza mwenyewe.

Labda iwe kwa wachache wasioweza kuingia kwenye mtandao kwa sababu mbalimbali ikiwemo elimu.
 
Tajeni iyo showroom. Kuliko kuiogopa maana inaaribu bihashara za magari na wakati wengine tunafata Procedure zote, alafu matapeli wachache wakilindwa na maaskari na viongozi wa Serikali wanafanya utapeli. Itajeni ili watu waisusie isifanye bihashara
Yako ni ipi. Najua zipo za watu waamimifu wachache.
Naogopa sana zenye kuwa kama vijiwe vya wahuni. Utakuta watu wengi hawafanani kabisa na kuuza magari. Kama madalali fulani hivi.
 
Sifanyi bihashara ya magari. Nimekosea sms nimerekebisha apo.
 
Nimeamua kuandika hii thread kuwatahadharisha mnaonunua magari ktk show rooms kuwa makini yasije kuwakuta kama yaliyonifika mimi .

Nilichukua mkopo Benki moja kwa ajili ya kuendeleza na kukuza kazi yangu.

Nikaenda na pesa ktk showroom moja ipo mtoni kwa Azizi Ally jirani na petrol station na ofisi ya CCM wkt huo nilishakwenda kabla siku 5 nyuma nikachagua gari niliyoridhika nayo nilipochukua mkopo ndipo nikatinga na pesa cash nikiongozana na jamaa zangu 2 nikamkuta mhusika mmoja kati ya 3 nikafuata taratibu za mauziano nikapewa risiti card original na mkataba nikaondoka na gari yangu.

Cha kushangaza yule aliyeniuzia aliniuliza hii gari unaipeleka mkoa gani? Nikamwambia umeniuzia gari hakuna haja ya kujua gari inaenda wapi.

Basi nikaenda na hiyo gari yangu siku hiyo nikaipark nyumbani kwangu. Kesho yake nikatoka nayo saa 7 mchana kwenda nayo Magomeni kuifanyia service ili ianze kazi kweli nikamaliza service nikaenda magomeni Kagera kula.

Nikiwa nakula akaja jamaa mmoja simfahamu akanigusa bega akaniambia wewe ndiwe mwenye ile gari pale nje? Nikamjibu ndio akasema ukimaliza kula nina shida na wewe.

Cha ajabu nilipotoka nje nikakuta pembeni ya gari yangu kuna defender la polisi kuna askari 8 nikapigwa bao la mgongoni nikaambiwa kaa chini tulikuwa tunakutafuta mwizi wewe nikawauliza nimeiba nini?

Hawakutaka kunisikiliza wakaninyanganya funguo ya gari polisi mmoja anaendesha na mimi nimewekwa nyuma nakindwa na polisi 2 mwendo tuliotoka nao pale Kagera kwenda central ni kama jambazi sugu linapelekwa kituoni.

Kufika central nikapandishwa juu ghorofa ya pili kama sikosei kitengo cha magari (siyo trafic) ni central kwenyewe. Tulipoingia ndani juu sasa napelekwa mzobemzobe nikaingizwa ktk chumba ni ofisi kulikuwa na afande mmoja tu hapo ni saa 11:30 jioni, wale askari wakasema afande tumemkamata mwizi wa lile gari ndio huyu.

Nnikaambiwa kaa chini nikatii, yule askari akiyekuwepo ofisini akawaamuru wanipeleke jela shimoni. Mimi nikajitetea siyo mwizi nimenunua hii gari kihalali na documents zote ninazo hapa, wakazichukua nikamwambia lkn kwanini msiende kumkamata aliyeniuzia gari ktk kunitendea haki? Akasema ok nendeni mkamlete aliyemuuzia.

Nikapandishwa ktk defender mpk mtoni kwa Azizi Ally bahati nzuri tunafika tu yule alieniuzia ndio alikuwa anajiandaa kutoka wakamchukua tukarudi tena central .

Yule askari akasema wapeleke jela nikajitetea maana mambo ya jela sijawahi maishani mwangu kuingia kkn wapi. Kufika chini tukajiandikisha nikamsikia askari mmoja anasema wafungie VIP kuna chumba jirani tu na hapo tulipopokelewa kabla ya kuingia jela.

Niligundua yule jamaa na wale maaskari wanafahamiana, tukalala ktk hicho chumba cha vip ilipofika saa 11 alfajiri akaja askari akatufungulia tukapekekwa shimoni ili mkaguzi akija atukute kule, tukakaa mpaka saa sita kasoro mchana majina yakaitwa tukatoka shimoni tukaenda kutoa maelezo.

Mungu mkubwa nikatoka kwa dhamana saa 8 mchana. Tukaambiwa kesho yake tufike pale saa 1:30 asubuhi na ikawa hivyo cha ajabu yule polisi aliyetuamuru mwanzo kabisa nipelekwe jela akamuuliza aliyeniuzia gari umeniletea pesa yangu hakumjibu kitu.

Asubuhi ile nikakuta ile gari yangu haipo pale ilipoegeshwa sijui ilipelekwa wapi mpaka leo kumbe wale jamaa wa ile showroom ktk kujitetea kutokanana na utapeli wao wakasema ile gari kuna mtu alienda pale showroom ana shida ya pesa wakamkopesha akaacha gari yake hiyo niliyoinunua mimi kama bond vile kwa hiyo hiyo gari imekaa siku nyingi wakaamua kuiuza ili warudishe pesa zao.

Wakati nahangaika kwenda pale polisi kila siku kupigania haki yangu kumbe wale jamaa wa showroom walikuwa na kesi nyingine za magari mengine 2 aliyeuziwa gari moja ni askari mwenzao alikuwa Arusha wakawalazimisha wale jamaa wa ile showroom matapeli warudishe pesa za ile gari ya askari mwenzao wa Arusha na wakafanya hivyo mimi wakaniambia nikafungue kesi mahakamani .

Nikafungua kesi Temeke lkn kumbukeni pesa ni ya mkopo bank natakiwa irejeshwe kila mwezi, nikatoa taarifa bank wakaniambia wao hawatambui wanachotaka ni pesa tu.

Nilikuwa na wkt mgumu sana nitarudishaje peza za bank kitendea kazi sina na sijui gari ilienda wapi. Wale matapeli waliposikia nimeenda Mahakamani wakapeleka pesa kiasi polisi Changombe kwa maana wanaanza kunilipa kidogo kidogo sikuwa na jinsi nilipata mateso makubwa mpaka nyumba yangu ikataka kuuzwa kazini nikaingia madeni mamilioni lkn Mungu alinipigania.

Ilifika siku niliamua ninunue petroli lita 30 niweke ktk gari yangu ndg ili nikifika ktk ile showroom niilipue gari ili kama kukosa tukose wote lkn sauti ikaniambia acha kufanya hivyo

Nawashauri kuweni makini na hizi showrooms. Nyingine sizihukumu ila ile ya Mtoni kwa Azizi Ally jirani na ifisi ya CCM mtalizwa.

Hawa jamaa walinisababisha maisha yangu na familia yakawa magumu.

Pole sana mkuu Mungu atakulipia
 
Back
Top Bottom