MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa Kushirikiana na Mabeberu ( hasa Wafaransa ) awe Rais wa Haiti na waendelee Kuitafuna Kivulini Rasilimali ya Haiti.
Nami Krav Maga namalizia kwa Kusisitiza kwa Marais wengine duniani kote acheni Kujiamini sana na Kuwaamini wale walio karibu yenu ( hasa Wastaafu ) ambao huenda kwa sasa wanajifanya wapo karibu nanyi kumbe Wanawazuga na Kuwatengeneza ili Mipango na Mikakati ikikamilika kilichotokea huko Haiti pia kiwatokee katika nchi zenu mlipo ili Mtu wao akalie Kiti na wazinyonye vilivyo Rasilimali zenu kwa Kushirikiana na Wachina na Wamarekani.
Marais wote nadhani tumeshaelewana.