Tahadhari: Tusijiamini sana, mauaji ya Rais wa Haiti yanaweza kutokea kwa Wengine. Umakini uongezwe kwa Marais Duniani

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa Kushirikiana na Mabeberu ( hasa Wafaransa ) awe Rais wa Haiti na waendelee Kuitafuna Kivulini Rasilimali ya Haiti.

Nami Krav Maga namalizia kwa Kusisitiza kwa Marais wengine duniani kote acheni Kujiamini sana na Kuwaamini wale walio karibu yenu ( hasa Wastaafu ) ambao huenda kwa sasa wanajifanya wapo karibu nanyi kumbe Wanawazuga na Kuwatengeneza ili Mipango na Mikakati ikikamilika kilichotokea huko Haiti pia kiwatokee katika nchi zenu mlipo ili Mtu wao akalie Kiti na wazinyonye vilivyo Rasilimali zenu kwa Kushirikiana na Wachina na Wamarekani.

Marais wote nadhani tumeshaelewana.
 
Umeanza vizuri ila ulipoweka wastaafu nikajua moja kwa moja unamtahadharisha mama yetu kuwa kuna siku Kikwete atamuua
 
Ni madikteta tu wanaohitaji ulinzi!!
Sivyo Kichuguu.
Kuna raisi mmoja wa nchi mojawapo ya Scandinavia akiitwa Olav Palme ambaye alikuwa mtu wa watu na alikataa ulinzi akiamini anapendwa...hatima yake aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa anatoka Sinema.
Muuaji hakujulikana.

Ulinzi kwa viongozi ni muhimu.
 
Ninajua kuwa ulinzi wa viongozi ni jambo la muhimu sana ili kutoweka serikali rehani. Palme aliuwawa nikiwa mwanafunzi chuo kikuu Dar, na roomate wangu alikuwa amesomea Norway kabla ya kujiunga na UDSM, alilalamika sana ndiyo nikapata picha kuwa Palme alikuwa mtu wa namna gani. nadhani ilikuwa ni 1985 au 1986 hivi.

Jibu langu hapo juu limetokana na wale waliokuwa wanabeza ulinzi wa magufuli kuwa alikuwa analindwa vile kwa sababu eti alikuwa dikteta!
 
Umeanza vizuri ila ulipoweka wastaafu nikajua moja kwa moja unamtahadharisha mama yetu kuwa kuna siku Kikwete atamuua
Nimezungumzia Marais wa duniani kote na Wastaafu wote pia. Kwani Rais duniani ni Samia na Mstaafu duniani kote ni Kikwete tu peke yake? Hivi Mzee Mwinyi, Karume na Dkt. Shein wao siyo Wastaafu? Mbona hujawataja wao? Mnafiki na Mpuuzi mkubwa Wewe.
 
Sivyo Kichuguu.
Kuna raisi mmoja wa nchi mojawapo ya Scandinavia akiitwa Olav Palme ambaye alikuwa mtu wa watu na alikataa ulinzi akiamini anapendwa...hatima yake aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa anatoka Sinema.
Muuaji hakujulikana.

Ulinzi kwa viongozi ni muhimu.
Olav Palmer hakuwa rais Bali waziri mkuu na hakuuawa Kwa risasi bali alichomwa kisu!
 
Nataka hiyo assassination ije Tanzania ije kutuondolea huyu dikteta👇
7654311.png
 
Rais anapaswa kuwa kiongozi na siyo mtawala. Huyu wa Haiti alipuuza haki za watu wake. Aliingia madarakani kwa uchaguzi wa kihuni.

Funzo kwa nchi fulani ya kufikirika. Wasikilizeni watu, wapeni haki zao
 
Nimezungumzia Marais wa duniani kote na Wastaafu wote pia. Kwani Rais duniani ni Samia na Mstaafu duniani kote ni Kikwete tu peke yake? Hivi Mzee Mwinyi, Karume na Dkt. Shein wao siyo Wastaafu? Mbona hujawataja wao? Mnafiki na Mpuuzi mkubwa Wewe.
Hebu basi ficha ficha ujinga wako we jibwa koko lenye gono
 
Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti kinasema moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa Kushirikiana na Mabeberu ( hasa Wafaransa ) awe Rais wa Haiti na waendelee Kuitafuna Kivulini Rasilimali ya Haiti.

Nami Krav Maga namalizia kwa Kusisitiza kwa Marais wengine duniani kote acheni Kujiamini sana na Kuwaamini wale walio karibu yenu ( hasa Wastaafu ) ambao huenda kwa sasa wanajifanya wapo karibu nanyi kumbe Wanawazuga na Kuwatengeneza ili Mipango na Mikakati ikikamilika kilichotokea huko Haiti pia kiwatokee katika nchi zenu mlipo ili Mtu wao akalie Kiti na wazinyonye vilivyo Rasilimali zenu kwa Kushirikiana na Wachina na Wamarekani.

Marais wote nadhani tumeshaelewana!!
Rubbish from a chicken mind.
 
Back
Top Bottom