Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Jun 19, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Miaka miwili iliyopita niliwahi kupashwa habari na whole seler wa mafuta ya alizeti jijini dsm kuwa madukani sasa kuna mafuta ya alizeti ya aina mbili.

  Aina ya kwanza ni yale yalikamuliwa kwa njia ya kawaida - haya sina ugonvi nayo.
  Aina ya pili ni mafuta yanayokamuliwa kutoka katika mashudu baada ya ukamuaji wa kawaida kumalizika - haya ndiyo shaka langu.

  UKAMUAJI HUFANYIKAJE?

  Mashudu ya alizeti humwagiwa ETHANOL kisa mafuta yaliyobaki ndani ya mashudu hujitenga.

  Kutokana na biashara hii mashudu ya alizeti yamepanda bei kuliko kawaida. Nawashauri mtumie mawese ili musipofuke.
   
 2. s

  solution JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama wanatumia ethenol .... is crime!!

  Kupofuka sawa!! Je kulewa .. ?
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tuambie basi tutayatofautishaje ili tusipofuke?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante kwa swali KUNTU......
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ethanl haipofui, methanol inapofua
   
 6. D

  Degelingi Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wataalam wa inteligency je ni kweli? isije kuwa ni mawazo ya mtu na story za vijiweni mnatuletea humu.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  mmh! Hii ni hatari.
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii habari yako huenda ina kitu ndani lakini isije ikawa unatoka Kigoma na hivyo unataka kuharibu uchumi wa Singina na mikoa mingine ambayo inalima alizeti!!!

  Nasema huenda kuna kitu ndani kwa kuwa jana nilikuwa mkoa mmoja hivi na nikaenda kiwandani (kiwanda kidogo - SIDO type) kununua mafuta ya alizeti nikawa naongea na mzee mmoja ambaye ni mmiliki wa kiwanda. Mzee aliniambia mafuta yale ni mazuri ukilinganisha na Sunola (mafuta ya alizeti ya viwandani). Nikamwambia yale si yanakuwa purified akasema wananunua mashudu toka kwao na kwenda kuweka chemicals na kupata hayo mafuta. Tena akasema kiwanda kipo Arusha!! Huenda hizo chemicals ndiyo hiyo ethanol.

  Kwa hiyo mkuu haya ya viwanda vyetu yana nafuu au?
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  heri kula chukuchuku
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa.
   
 11. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Unaijua bei ya ethanol ili utumie kukamulia mafuta? Hayo mafuta utayauza bei gani?
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  viwanda viko Arusha, singida na Dodoma. Ni habari ya uhakika.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kitu nazi tuuuuuu.....
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu, hata nazi ni deadly.
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nazi nayo ina methanol ama ethanol? Nadhani nazi iko poa hasa ukipata tui bubu!
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  mkuu nilishangaa kuona mashudu yakiwa yamekamuliwa hadi yamegandamana lakini jamaa akaniambia watu wa Arusha wanakuja kuyanunua na kukamua mafuta basi nikadhani huenda wao wana technologia ya juu kuliko hawa wa SIDO, kumbe ni mambo ya ethanol. TFDA wako wapi? TBS wako wapi? Kesho nataka nichukue mafuta ya SUNOLA niyapeleke TFDA ili yapimwe. Sijui kama naruhusiwa kama Mlaji (Consumer)?
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kuniunga mkono, taarifa za uhakika nilizopata ni kwamba hata wachuuzi toka kenya huja kuyanunua kwa wingi kwaajiri ya kukamua mafuta. Ni vema mamlaka husika zingechukua hatua.
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hapa ulinzi wa TBS unahitajika kwa nguvu!
   
 19. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  TBS ipi, hii hii iliyopo Ubungo au nyingine?
   
 20. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Andiko liko general sana, ni kweli technologia inayotumika katika viwanda vingi vidogo haikamui mafuta yote kutoka katika alizeti. Ndio maana viwanda vya arusha vinanunua mashudu na kuyakamua tena na ku export mashudu.

  Demand ya Mashudu pia imeongezeka, la upofu bado linahitaji utafiti zaidi.
   
Loading...