Wewe ni mmoja kati ya wapumbavu wakubwa hapa. Unaleta ujinga wako wa imani potofu kupotosha watu eti nyota zimechukuliwa. Ujinga gani huu. Binadamu tangu lini akamiliki nyota.Sasa nan amekuambia hafany kazi blalfaken wewe tumia akili
Inawezekana ukawa una hoja ya msingi sasa embu dadavua vizuri ueleweke ni kwa namna gani hiyo nyota inachukuliwa?
Kwa mfano mm ni maskini nikapewa msaada na huyo tajiri ambae amechukua nyota yangu kwa kunipa msaada je huo umaskini wangu unakuwaje?
Yaan nabaki kuwa maskini or nakuwa tajiri kama yeye or nakuwa maskini zaidi?
Na kwa mfano mm ni tajiri nikapewa pesa na tajiri mwenzangu halafu akachukua nyota yangu je nabaki na utajiri wangu or matajiri wao hawachukuliwi nyota zao?au tajiri nae atafirisika baada ya nyota yake kuchukuliwa?
Je maskini anaweza kuchukua nyota ya tajiri akawa tajiri na halafu tajiri akafilisika akawa maskini?
Hizo nyota zinachukuliwaje?ktk mazingira gani?na je ukishachukuliwa nyota unaweza kuirudishaje?yaan unatakiwa ufanye nn ili kurudisha hiyo nyota ilichukuliwa.
Ukinijibu haya maswali naweza kukuelewa na kusadiki ulichozungumza ila ukija ngonjera zozote zile itakuwa ni story za kijiweni.