TAHADHARI Punguzeni Kupenda vya Kupewa

Kwa hiyo ni tahadhari Kwa wadada tu Sio? Kwamba wasipokee hela Kwa wakulungwa..

Pesa inaongea.. Ndio ujifunze kuongea nayo.. Ujue lugha yake.. Utaitumia... Haitakutumia....

Kwa wote kwamaana kuna hata mafala ya kiume yanapenda kupewa hela hovyo
 
Kwa hiyo ni tahadhari Kwa wadada tu Sio? Kwamba wasipokee hela Kwa wakulungwa..

Pesa inaongea.. Ndio ujifunze kuongea nayo.. Ujue lugha yake.. Utaitumia... Haitakutumia....

Tatizo ubishi ndo unaowafelishaga
 
Now kuna system mpya ya kuchukua Nyota za watu
Matajiri wengi wamekuwa wakitumia hiyo technique kuchukua nyota za watu hili waendelee kutajirika zaidi na zaidi na mambo yao kwenda vizuri
Usipende kupokea hela unayopewa na mtu bila sababu yeyote ya msingi hiyo ni moja ya technique ya kuchukuliwa nyota bila wewe kujijua
Wadada mnaopenda masponsor isee hao watu ni hatari ndo wanachukua nyota bila kujijua unaona sponsor anakuonga sana kumbe anajua anachofanya
Anachukua nyota yako anakuacha mtupu ndo maana watu wengi sana wanaodanga kuna stage wakifika hawana issue yeyote hakuna wanalofanya likafanikiwa wanabaki watupu hawana maendeleo yeyote
Ukiangalia wadada wengi waliostaafu kudanga hawana maendeleo yeyote na kila wanachofanya akiendelei na maisha yao hayaeleweki cz nyota zao zimechukuliwa bila wao kujijua

Hata hao Wasanii wanaogawa hela wapo kikazi zaidi wanabeba nyota za watu bila watu kujijua
Acheni kupenda vitu vya kupewa pewa nyota zinabebwa

Ukiangalia kuna watu kila biashara wanayofanya haifanikiwi yaani kila wanachofanya hakifanikiwi Yaan hawana direction ya Maisha Kabisa Basi Jua nyota ishabebwaa bila wewe kujijua

Hii kitu ni kweli acheni kupenda vya kupewa nyota zinabebwa bila nyie kujijua na Wengi nyota zao zimebeba ila hawajui Muwe mnasali sana hii kitu ndo imekuwa new technique ya watu kufanikiwa na kuwa matajiri zaidi

Ukiona mwanaume anapenda wanawake yani kila mwanamke yupo nae na hela anaonga isee Kaa ukijua anachukua nyota za wanawake kujitajirisha then anawaacha wanawake bila Mwelekeo wowote Iseee Mtu wa hivo Muogope narudia tena Muogope watu wanaona ni uhuni kumbe ndo njia mpya ya kutajirika hii njia imekuwa ngumu sana watu kusanuka ila ndo hivo nyota zinabebwa sana.

Hawa mastar wa kike wanajiachiaga sana ndo maana wakiachwa tu wanakuwa hawana mwelekeo wowote kila wanachofanya kinafeli

....Nimewaambia jamani ukiona kila unachofanya kinafeli basi jua nyota ishabebwaa na wajanja
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nchi yenye umaskini mkuu wanajaribu kutafuta kila sababu iwe ndiyo chanzo cha umaskini wao. Come on..... kafanye kazi achana na imani za karne walioishi wasadikika waliosimuliwa na Shaaban Robert.
 
Nchi yenye umaskini mkuu wanajaribu kutafuta kila sababu iwe ndiyo chanzo cha umaskini wao. Come on..... kafanye kazi achana na imani za karne walioishi wasadikika waliosimuliwa na Shaaban Robert.

Sasa nan amekuambia hafany kazi blalfaken wewe tumia akili
 
Kudanga sio kazi rasmi mtu unategemea uone maendeleo gani kutoka kwa mdangaji!

Mtoa mada huu ujinga utakutesa sana .
 
Now kuna system mpya ya kuchukua Nyota za watu
Matajiri wengi wamekuwa wakitumia hiyo technique kuchukua nyota za watu hili waendelee kutajirika zaidi na zaidi na mambo yao kwenda vizuri
Usipende kupokea hela unayopewa na mtu bila sababu yeyote ya msingi hiyo ni moja ya technique ya kuchukuliwa nyota bila wewe kujijua

Wadada mnaopenda masponsor isee hao watu ni hatari ndo wanachukua nyota bila kujijua unaona sponsor anakuonga sana kumbe anajua anachofanya
Anachukua nyota yako anakuacha mtupu ndo maana watu wengi sana wanaodanga kuna stage wakifika hawana issue yeyote hakuna wanalofanya likafanikiwa wanabaki watupu hawana maendeleo yeyote
Ukiangalia wadada wengi waliostaafu kudanga hawana maendeleo yeyote na kila wanachofanya akiendelei na maisha yao hayaeleweki cz nyota zao zimechukuliwa bila wao kujijua

Hata hao Wasanii wanaogawa hela wapo kikazi zaidi wanabeba nyota za watu bila watu kujijua
Acheni kupenda vitu vya kupewa pewa nyota zinabebwa

Ukiangalia kuna watu kila biashara wanayofanya haifanikiwi yaani kila wanachofanya hakifanikiwi Yaan hawana direction ya Maisha Kabisa Basi Jua nyota ishabebwaa bila wewe kujijua

Hii kitu ni kweli acheni kupenda vya kupewa nyota zinabebwa bila nyie kujijua na Wengi nyota zao zimebeba ila hawajui Muwe mnasali sana hii kitu ndo imekuwa new technique ya watu kufanikiwa na kuwa matajiri zaidi.

Ukiona mwanaume anapenda wanawake yani kila mwanamke yupo nae na hela anaonga isee Kaa ukijua anachukua nyota za wanawake kujitajirisha then anawaacha wanawake bila Mwelekeo wowote Iseee Mtu wa hivo Muogope narudia tena Muogope watu wanaona ni uhuni kumbe ndo njia mpya ya kutajirika hii njia imekuwa ngumu sana watu kusanuka ila ndo hivo nyota zinabebwa sana.

Hawa mastar wa kike wanajiachiaga sana ndo maana wakiachwa tu wanakuwa hawana mwelekeo wowote kila wanachofanya kinafeli

Nimewaambia jamani ukiona kila unachofanya kinafeli basi jua nyota ishabebwaa na wajanja

Watanzania Ubishi ndo unaowafanyaga Mnafanywa kuwa mazoba na mazumbukuku
Vipi kuhusu misaada ya mabeberu kwa nchi maskini kama yetu Tanzania

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Daaah! Na hawa jamaa wajanja.! Halafu mzee wangu naye alishauriwa ili aendelee kiofisi basi achukue hela aende akampe omba omba, ili mikosi yake iende kwa omba omba, na yeye achukue nyota yake apande vyeo, ila mzee wangu alikuwa muungwana. Akakataa.!

Huu si ndio upumbavu wenyewe sasa?

Yaani uchukue nyota ya ombaomba?
 
Back
Top Bottom