Tahadhari: Pesa za tetemeko kisiwe kitanzi kwa baadhi yetu

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Enyi watanzania wenzangu, akini wale sasa Wenye tamaa ya fisi, jihadharini hizi pesa na michango inayotolewa na watu na taasisi isije kuwapeleka jera. Nasema haya kama tahadhari kwani najua siku ikifika ya kuomba hesabu ya kila senti na ilivyotumika naamini wenzetu baadhi hawatasalimika. Raisi wetu huyu ni muumini wa kutaka kujua tena kwa kuona mwenyewe, zile tabia zetu zile za kuhamisha, zisije kuwatokea puani.

Yangu ndo hayo kwa leo, msije kusema hatukuwaambia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom