kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Nimeanza kusikia heading..
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
"YALIYOMKUTA NAPE YAMKUTA MALIMA"
"MALIMA ATISHIWA BUNDUKI KAMA NAPE"
"MALIMA AFUATA BAADA YA NAPE KUTISHIWA BUNDUKI"
"MALIMA NA NAPE WAWA WAHANGA WA KUTISHIWA BUNDUKI"
binafsi sioni kabisa kama haya matukio yanafanana kwa kuwa nape alikuwa anataka kufanya mkutano wakati malima kesi yake ni kuegesha gari vibaya
Pia nape alielekezewa bunduki wakati malima bunduki ime elekezwa angani.
Kwa NAPE hazikupigwa risasi wakati kwa MALIMA zimepigwa risasi kadhaa hewani.
---------------------------------
Kutokana na hoja hizo hapo juu sioni ulazima wa kufananisha tukio la NAPE na hili la MALIMA lililotokea hivi karibuni.
Waandiahi jitahidini kutumia kalamu zenu vizuri ili msituletee uchochezi na kuwajengea chuki wananchi kwa vyombo vyao vya usalama.
Pia nitafurahi zaidi kama hii habari itakuwa balanced kwenye vyombo vyetu vya habari kwa kupata malelezo kutoka jeshi la polisi na kutoka kwa malima na wale mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio kwani inasemekana dereva wa gari ya MALIMA alikuwa hajashuka kuashilia hatakaa sana hilo eneo, hapa teyari kuna maelezo yanatakiwa yawezekana hakushuka, je alikaa kwa mda gani eneo la tukio.
Najua hii habari ndio itakayobamba katika media zetu kwa sasa ila RAI yangu wanahabari jitahidini ku iripoti kitaaluma zaidi badala ya KI-ushabiki na kuegemea upande mmoja.
=================
Wako
Kalenga kidamali