Tahadhari na Mzungu Tapeli

svc

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
429
157
Anaitwa "Glenn Roseberry" na anadai ni Mmisionari kutoka Tennessee Marekani na kwa sasa anaishi na kufundisha Arusha, pamoja na kufanya kazi zake nyingine Kenya.

Aliona tangazo langu la pikipiki kwenye internet akawasiliana ili ainunue. Leo kafika nyumbani anadai kutoka Arusha, akasema anaijaribu pikipiki. Akaondoka nayo yeye na jamaa fundi pikipiki anaitwa Shila wa Kawe. Walijaribu kuiiba pikipiki kwa kukimbia nayo wakidai wanai-test.

Hapohapo leo hiihii akaniahidi kwa kunipigia simu na kwa email kuinunua kwa ku-transfer pesa kutoka akaunti yake Tennessee kwenda kwenye akaunti yangu Marekani, na ningezipata baada ya masaa mawili ili nimruhusu aondoke na pikipiki. Kumbe ni uwongo mtupu, lakini cha ajabu sana kila kitu kuanzia jina la mfanyakazi wa benki, namba ya simu ya benki, email, anwani ya benki yake Tennessee na kila kitu nime-confirm ni sahihi. Hadi mfanayakazi wa benki ananipigia simu kunihakikishia kuwa anahamisha pesa, na kunitumia email kwa anwani pepe ya benki halali ya Marekani.

Lakini kumbe yote ni danganya toto. Wanadai wanipe confirmation ya bank wire transfer nimruhusu achukue pikipiki. Lakini confirmation ya wire transfer kamwe siyo ushahidi wa malipo. Ni ajabu sana kwa kweli. Mzungu mzee wa makamo wa Kimarekani anajaribu kuiba pikipiki Dar kwa kutapeli, na hadi kukimbia nayo? Duh! Dunia imekwisha!

Website ya benki: https://www.themetropolitanbank.com/

Glenn Roseberry (na ni mwenyewe huyo mzee kwenye picha, amini usiamini): https://www.google.com/#q=glenn+roseberry
 
Safi sana, mnezidi kuwababaikia wazungu, una shilling ngapi nikuoneshe mwizi wako alipo? hao wazungu mateja mbona kinondoni wapo wengi tu?
 
Haka si kageni kwenye maxkio ya wa2 kjtambulisha kama.Lilian Martinez diop,huyu anataka kuamisha fedha kwa ku2mia akaunt yangu,
Adam Broyford kajitolea kunidhamini ila anahitaj akaunt no,etc.cyber crimes.
 
Huyo ms.enge hapo juu anafikiri kila mtu ana mtizamo kaa yeye. Ni pochi tu inapendwa siyo mtu. Mzungu nani bana? Kitu cha ajabu mzee mzima wa kizungu na midevu yake, tena anadai mmisionari kujaribu kusepa na gurudumu zangu mbili kwa staili ya uswazi.
 
Mlifanikiwa kuipata au amesepa mazima

Tuliipata mkuu! Nimeweka wazi hii maada ili labda kutakuwa na watu humu ndani wanaomfahamu washtuke. Na pia kuwatahadaharisha watu wengine. Hakuna haja ya kuanza kuitana majina. Babu huyu wa kizungu noma sana kwa kweli. Mi nadhani anaweza kuwa ex-convict and possibly some sex offender kwao Tennessee na Bongo anataumia jina bandia.

Lakini mbaya zaidi anajiita "Mmisionari" na kufanya kazi na watoto. He's probably one of those Trailer Park White Trash, na Tennessee huko ndiyo kwao.
 
Duh noma
 
Pole mkuu;ahsante kwa taarifa.Pia mimi yalinikuta maeneo ya Sinza nilipigwa M6 ni mbongo aliyenipiga.
 
Pole mkuu;ahsante kwa taarifa.Pia mimi yalinikuta maeneo ya Sinza nilipigwa M6 ni mbongo aliyenipiga.

Ndiyo Mkuu. Hii inauma ikikukuta. Halafu kuna watu wanakaa pembeni na kudhihaki na kukuona mjinga kutokana na yaliyokupata bila kufahamu undani wa mambo kama haya. Mi huwa nasema kila Mbongo lazima apitie madudu kama haya in their lifetime kwa sababu yamezagaa kutokana na tamaa kubwa na njaa nyingi ilhali vyanzo vya pesa ni vichache.
 
Mwaka jana kuna mzungu alishuka kwenye gari yake na kwenda kwenye kaunta ya pub moja maarufu pale tegeta na kuagiza Whisky alipopewa wakati wa kulipa akajisachi na kumwambia mhudumu bahati mbaya kaishiwa Tsh hivyo anaomba alipe kwa dola then ampe chenji ya Tsh.Mhudumu akasema hawezi kupokea dola ndipo jamaa aliyekuwa amekaa pia kaunta akipata kinywaji na alikuwa anasaidia kutafsiri kwa yule mhudumu kwa Kiswahili ikabidi ajitolee kupokea dola na kumpa Tshs yule mzungu ambaye na yeye akalipa fasta bila kudai chenji na kukimbilia kwenye gari na kuondoka spidi.

Ile ondoka ya mzungu ndio iliyomgutua jamaa na kuamua kuchunguza vizuri ile dola na kugundua ni feki! Wazungu waaminifu walikuwa wale wa zamani wamissionari si hawa wa siku hizi njaa tupu!!
 
Jmn naomba tumshukuru sn mleta uzi kwasbb anatusaidia kuwa makini kwmb kuna vitu km hivyo dunian, kwa wale ambao wanaotoa maneno ya hatar is not good.
 
Sasa hivi hawa jamaa imekuwa janga sana

Karibu kila kona ya TZ wapo kwa ajili ya utapeli

Kuna mmoja alikamatwa wiki mbili nyuma
 
Tuliipata mkuu! Nimeweka wazi hii maada ili labda kutakuwa na watu humu ndani wanaomfahamu washtuke. Na pia kuwatahadaharisha watu wengine. Hakuna haja ya kuanza kuitana majina. Babu huyu wa kizungu noma sana kwa kweli. Mi nadhani anaweza kuwa ex-convict and possibly some sex offender kwao Tennessee na Bongo anataumia jina bandia.

Lakini mbaya zaidi anajiita "Mmisionari" na kufanya kazi na watoto. He's probably one of those Trailer Park White Trash, na Tennessee huko ndiyo kwao.

Kaka kuwa mzungu kwa hapa petu Bongo ni sawa na kuwa upo peponi,hawabugudhiwa kwa chochote,wanao dada zetu na kuwafanya wanavyotaka,wanapata ajira na mishahara mikubwa hata kama kwao alikuwa mzibua vyoo na ananyenyekewa kila mahala,watu bado tuna ushamba wa kuona rangi nyeupe ni bora kwa kila kitu na wazungu wengi wanaishi hapa nchini kiholela hata vibali hawana,na baadhi yao wamekimbia kesi makwao,hasa za kunyanyasa watoto,uwizi wa mitandaoni .Lakini kwa yote wa kujilaumu ni sisi wenyewe na je umeona dada zetu wanavyojilengesha kwa hao wazungu(vibabu) ili waolewe au wapewe pesa au waende Ulaya,wanaona sifa kuitwa Muke ya Muzungu.
 
Back
Top Bottom