Tahadhari: Mgambo wanapita guest house kukagua vyeti vya ndoa na kubaini wapenzi wa jinsia moja

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Habari zinazoendelea kusambaa.
Kuna msako endelevu Wa mgambo Wa manispaa kupita katika maguest house hususani TEMEKE.
Mgambo hao wanapita hususani usiku wakikagua vyeti Vya ndoa endapo mtakutwa jinsia mbili tofauti, Kwa wale ambao hawajafunga ndoa unapaswa kuonyesha Barua ya mjumbe wako kuwa wewe ni Mme na Mke halali.
Pamoja na hayo Kwa wasafili unalazimika kuonesha tiketi yako na pindi unapokutwa huna vigezo hivo unalazimika kushitakiwa na manispa.
 
Habari zinazoendelea kusambaa.
Kuna msako endelevu Wa kupita katika maguest house unaofanywa na manispaa hususani TEMEKE. Mgambo hupita wakikagua vyeti Vya ndoa endapo mtakutwa jinsia mbili tofauti, Kwa wale ambao hawajafunga ndoa unapaswa kuonyesha Barua ya mjumbe wako kuwa wewe ni Mme na Mke. Pamoja hayo Kwa wasafili unalazimika kuonesha tiketi yako . na pindi unapokutwa huna vigezo hivo unalazimika kushitakiwa na manispa.
Kwa sheria gani, watu waache ujinga, vyeti vya ndoa havina tija ktk ujenzi wa nchi hii
 
Habari zinazoendelea kusambaa.
Kuna msako endelevu Wa mgambo Wa manispaa kupita katika maguest house hususani TEMEKE. Mgambo hao wanapita hususani usiku wakikagua vyeti Vya ndoa endapo mtakutwa jinsia mbili tofauti, Kwa wale ambao hawajafunga ndoa unapaswa kuonyesha Barua ya mjumbe wako kuwa wewe ni Mme na Mke halali. Pamoja na hayo Kwa wasafili unalazimika kuonesha tiketi yako . na pindi unapokutwa huna vigezo hivo unalazimika kushitakiwa na manispa.
Hakuna sheria yoyote ile Tanzania(bara) inayotaja UZINZI kama kosa la JINAI!
 
Kwa sheria gani, watu waache ujinga, vyeti vya ndoa havina tija ktk ujenzi wa nchi hii

Mbona umepanic! Temeke waanzie hapo strerea kwenye mabanda ya kuuzia nyapu huko guest waende baadae wakati zipo sehemu rasmi labda kama wanataka kuwaongezea wateja katika vibanda.
 
hahahahahahahaha
wajumbe watajenga magorofa sasa si kwa wingi wa barua hizo watakazoandika
 
Atiiiiii!!!!?????? Hawawezi.... Thubutuuu!!! Wajaribu waone..... Hiii kitu hiii!! Wameshindwa kuwadhibiti wake/waume zao wataweza kitaaa!!
 
hahaha kweli hapa kasi tu ngoja tusubiri tuone mwisho wa hili zoezi litaleta mabadiliko au laa!
 
Usiku mbona hawawapati, wazinzi wengi ni wanandoa na usiku wanakuwa makwao kama sio wao, wangefanya operesheni hii mchana tena siku za weekend
 
Back
Top Bottom