Tahadhari: Mgambo wanapita guest house kukagua vyeti vya ndoa na kubaini wapenzi wa jinsia moja

Habari zinazoendelea kusambaa.
Kuna msako endelevu Wa mgambo Wa manispaa kupita katika maguest house hususani TEMEKE.
Mgambo hao wanapita hususani usiku wakikagua vyeti Vya ndoa endapo mtakutwa jinsia mbili tofauti, Kwa wale ambao hawajafunga ndoa unapaswa kuonyesha Barua ya mjumbe wako kuwa wewe ni Mme na Mke halali.
Pamoja na hayo Kwa wasafili unalazimika kuonesha tiketi yako na pindi unapokutwa huna vigezo hivo unalazimika kushitakiwa na manispa.
Naona nchi hii soon itageuka kuwa Iraq au Somalia.
 
Hizo ndo zile vitu zisizo na tija tena za kipuuuuuuz kupita upuuz ulioshinda upuuuz.. Hivi wanadhani dar nzima wanawake wameolewa au wanaume wameoa..?? Hivi leo hii uende gest ukakague eti unalitoa jitu la miaka 30 lipo na demu wake wa miaka 18+ , alaf ukishalikamata whats next...

Hapo kwenye wapenz wa jinsia moja naunga mkono.. Wawakamate tu...
 
Tanzania tutaendelea kubaki nyuma kama think-tanks wetu ndio wanakuja na vitu kama hivi
 
hahahahahahaa tunakoelekea watatoa mpaka ratiba ya siku za kugegedana kwa wanandoa maana kale kazoezi kanawapa watu hangover wanashindwa kufanya kazi
 
Usiku mbona hawawapati, wazinzi wengi ni wanandoa na usiku wanakuwa makwao kama sio wao, wangefanya operesheni hii mchana tena siku za weekend
Usitupe siri yako kuwa huwa unagegeda week end mchana
 
Back
Top Bottom