Habari zinazoendelea kusambaa.
Kuna msako endelevu Wa mgambo Wa manispaa kupita katika maguest house hususani TEMEKE.
Mgambo hao wanapita hususani usiku wakikagua vyeti Vya ndoa endapo mtakutwa jinsia mbili tofauti, Kwa wale ambao hawajafunga ndoa unapaswa kuonyesha Barua ya mjumbe wako kuwa wewe ni Mme na Mke halali.
Pamoja na hayo Kwa wasafili unalazimika kuonesha tiketi yako na pindi unapokutwa huna vigezo hivo unalazimika kushitakiwa na manispa.