wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia"
Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje ya eneo la kuegeshea wakiwa ndani ya gari pamoja na wewe.
Tafadhali fanya yafuatayo namba ya gari lako inapotajwa kwenye sherehe za kijamii.
1. Chukua muda kabla hujaenda nje
2. Usiende peke yako angalau watu wawili au zaidi
3. Usiende moja kwa moja mahali gari lako lilipo hakikisha kama kweli yupo mtu uliyemzuia
4. Angalia mazingira kwa makini kabla hujakaribia gari lako
Tafadhali nakili na changia na wengine hata kama huna gari,
Okoa watu wengi.